Waliochaguliwa kujiunga na udom hawa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliochaguliwa kujiunga na udom hawa hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by miradibubu, Sep 22, 2010.

 1. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Samahani kwa wale watakaodhani nimeiweka hii mada sehemu isiyohusika. ukweli ni kwamba wingi wa wanafunzi elimu ya juu ndiyo kusogea kwa mazishi ya sisiem, uanaweza usielewe ninamaanisha nini. Siku ya mazishi ikiwadia utaelewa ninachosema. Angalia matokeo haya
   

  Attached Files:

 2. R

  Rayase Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Thanks very much mkuu manake TCU inasumbua sana. kama inawezekana na vyuo vingine waweke basi vijana wanapata shida
   
 3. Mkereketwa

  Mkereketwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tHANKS mKUU
   
 4. S

  Safre JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ifm na iaa
   
 5. K

  Kelly New Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru Mkuu, ila sio vema kuilaumu serikali kwa kila kitu.
   
 6. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Asante. Kumbe na madaktari watazalishwa UDOM!
   
 7. i

  innocent mwaipopo New Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hawa co wa mwaka 2012/2013 mkuu
   
 8. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  aacha wenge weweeeew...HUONI HIYO POST NI YA MWAKA 2010.....ushapasuka weweeee!!!!!!????
   
 9. H

  HEADPHONE New Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!ckuona tar...hii ndo J'forums!!
   
Loading...