Mkuuu umechaguliwa program gani hapo MoCUMwenye joining instruction ya bachelor's programs..maana naona za certificate tu na diploma
Mkuuu umechaguliwa program gani hapo MoCU
Nimesoma diploma hapo na mwaka huuu ndo naingia degree hapo hapo so kama n wakike nipe no zakeSio mm mkuu..namsaidia dogo alienda JKT..mm ndio nimemaliza mwaka huu mkuu.ila sio hapo
Haha..ni msela aise. Kama ni pisi si kunakuaga na groups za 1st year upate macontena yako mapya ya kutosha kabla hawajazoea chuoNimesoma diploma hapo na mwaka huuu ndo naingia degree hapo hapo so kama n wakike nipe no zake.
Kuna mambo ya kisecondaryOY WADAU NATAKA NIJIUNGE HAPO VIPI MAZINGIRA NA WATU WAKOJE PANDE HIZO
mambo gani tena mkuuKuna mambo ya kisecondary
Mazingira mazuriOY WADAU NATAKA NIJIUNGE HAPO VIPI MAZINGIRA NA WATU WAKOJE PANDE HIZO
MBONA KUNA JAMAA ANA NAMBIA WANAMAMBO YA KISEKONDARIMazingira mazuri
Ndio maana nimemuambia jamaa,kuna mambo ya kisecondary.Hicho sio chuo sema tu basi
Means kina ujinga mwingi.mambo gani tena mkuu
Sure MkuuNdio maana nimemuambia jamaa,kuna mambo ya kisecondary.