Walioapply kazi British High Commission

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Wakuu Habari,,
Hao jamaa wa British High Commission walitangaza kazi amabazo deadline zake zishapita,, je wameshaita wau kwenye interview.?
Au kwa amabo walishafanya interview nao, huwa wanaita watu baada ya muda gani.?

Shukran.
 
Back
Top Bottom