mind bringer
Senior Member
- Oct 19, 2017
- 170
- 51
nmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
Naungana na wewe mkuunadhani baadhi wamekosa kutokana na ufaulu wao mdogo wa kidato cha nne
ooohk!!!but cio poaa 4.7 anatemwa kisaa fom four...polee zwafikieenadhani baadhi wamekosa kutokana na ufaulu wao mdogo wa kidato cha nne
Duuh itakuwa noma hy, kwahy ht kama una D 4 bado utapigwa za uso.?nadhani baadhi wamekosa kutokana na ufaulu wao mdogo wa kidato cha nne
asee hapo ni bahati sanaDuuh itakuwa noma hy, kwahy ht kama una D 4 bado utapigwa za uso.?
Kabisa yani... Yan watu hawasomi vigezo vinavyotakiwa.. mtu anapply course tofauti ambayo haiendani kbs na diploma yake aliyosomea...xx Hapo lazima iwe ngumu kuchaguliwa.Tatizo linakuja hapa mtu diploma amesoma agriculture degree anataka aende kusoma computer science chukua guideline ya TCU uone wakivyo elezea watu wanaaply bila kusoma gudilne ya tcu
Mkuu, haya mambo hayaelewekagi na wala hayana formula.. Kuna 6 holder wengi wameachwa 1 round hali ya kuwa form 4 wanamatokeo nondo na 6 wamepiga vizur dvsn 2 Kali Ila walikosa dirsha LA kwanza huku mtaani nikp nao madogo kama hao na sasa wanasubiria 2 round selection.asee hapo ni bahati sana
tatizo competition ndugu angu
cheti cha form 4 ndo issuenmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
inategemea d 5 za somo gani kwa course za sayansi lazima uwe na D 4 za masomo ya sayance kinyume na hapo hata uwe na gpa ya 5 hupati vyuo vingine ka udsm utasikia mathematic is mandatory at grade CDuuh itakuwa noma hy, kwahy ht kama una D 4 bado utapigwa za uso.?
MB! Kwani majibu yatoka? Raundi ya ngapi?nmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
bdo had tarehe 29/10MB! Kwani majibu yatoka? Raundi ya ngapi?
fact hiiiMkuu, haya mambo hayaelewekagi na wala hayana formula.. Kuna 6 holder wengi wameachwa 1 round hali ya kuwa form 4 wanamatokeo nondo na 6 wamepiga vizur dvsn 2 Kali Ila walikosa dirsha LA kwanza huku mtaani nikp nao madogo kama hao na sasa wanasubiria 2 round selection.
Hv vyuo vinaringa sana round 1 kwanza kwa kuwa waombaji wanakuwa wengi na vyuo vinaamini wataomba tena, matokeo yake wanachagua wachache ten wengi wana multiple selection..
kwahiyo wanataka form 4 uwe na division kuanzia ya ngapi na iishie ngapi ndo uweze kupata chuo ukiwa umetokea diplomanadhani baadhi wamekosa kutokana na ufaulu wao mdogo wa kidato cha nne