Dijovisonjn
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 466
- 125
wana kigoma wameonekana kumsupport sana kiongozi wao, kuna dada kasema anamuona Zitto kama raisi na mama mwingine kasema yupo tayari kuhama na kumfuata Zitto popote atakapoenda, mzee mmoja kasema hakuna bendera ya Chadema kwa sababu hawaijui hatma ya Zitto ndani ya chadema, wengine waliohojiwa wamedai ukabila ndo chanzo kikuu cha uonevu kwa Zitto.
Wote waliohojiwa (watu watano, wanawake wawili na wanaume watatu) walikuwa wananchi wa kawaida.
source: startv habari
sasa pro Mbowe & Dr. Slaa endeleen na propaganda zenu.
Wote waliohojiwa (watu watano, wanawake wawili na wanaume watatu) walikuwa wananchi wa kawaida.
source: startv habari
sasa pro Mbowe & Dr. Slaa endeleen na propaganda zenu.