N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk.
Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi wa Taifa letu Baba wa Taifa na Mzee Karume. Waandishi hamkuwatendea haki hawa wazee.
Sio kila kitu ni cha kuandika. Kasome mwenyewe ukurasa wa 70 na 71 Vol. 1 kwa umakini.