Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

Kuna ubaya gani kumuita mlevi , mlevi???

Shida inakuja pale tu kilichoandikwa kinapokuwa sio sahihi.

Binafsi niliwahi kuandika one of my IA on him hivyo nimemsoma soma na sioni ubaya iwapo wanaomjua zaidi wakitupa their side of the story. Hata kama hatutofurahia ila kama ni ukweli hatuna budi kuukubali.
View attachment 1579798
Natamani niisome hii pia iko published anywhere kwamba niipate.
 
Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk.

Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi wa Taifa letu Baba wa Taifa na Mzee Karume. Waandishi hamkuwatendea haki hawa wazee.

Sio kila kitu ni cha kuandika. Kasome mwenyewe ukurasa wa 70 na 71 Vol. 1 kwa umakini.
Hatimiliki haizuii kunukuu sehemu ndogo kwa matumizi ambayo si ya kibiashara kama kufundisha na majadiliano ya kijamii kama hapa.
 
Kwa kilichoandikwa na kuzungushiwa duara, ndio ukweli wa yaliyotokea. Kuna sehemu nilisoma kuwa Nyerere alikuwa hajui mipango ya Karume ya kuua kila anayemuona ni tishio kwa uongozi wake. Na alipotambua aliacha utaratibu wa kuwarudisha watu Zanzibar, na kilipelekea mahusiano yao wasiwe mazuri mpaka kifo kilipomchukua Karume.
 
Ukweli ni ukweli! Huenda yapo ambayo Waasisi waliyafanya ambayo yameligharimu Taifa! Hata hivyo Waandishi hao wamekosa Uzalendo.
 
Ukweli ni ukweli! Huenda yapo ambayo Waasisi waliyafanya ambayo yameligharimu Taifa! Hata hivyo Waandishi hao wamekosa Uzalendo.
Sahihi. Kumbrand kiongozi ambae hatupo nae ambae historia yote imempambanua kama mwanamapinduzi binafsi naona sio sawa kuna lugha ya kukosoa ambayo haiudhi kumwita dikteta mwandishi kaenda maili nyingi sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom