Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,305
SERIKALI : Haturuhusu Mkulima kuuza Chakula Nje, Uzeni Ndani, hii ni kwa usalama wetu.
WANASIASA : Serikali Mbovu, huu ni unyonyaji,..Mkulima kalima chakula chake ana haki ya kuuza popote anapotaka, Wakulima Mnaonewa,...tutaenda ICC.
SERIKALI : Ok Ruksa kuuza Nje!.ukijisikia kupeleka Biringanya Colombia haya!...Ulezi Vietnam haya!
Sasa jiulize, ni wakulima wangapi huko Mpanda...Magu..Kiparangoto...Chakalachui n.k wana Access ya kuonana au kufanya biashara na Alexander Ziegler wa Romania wakamuuzia Choroko?....kuonana na Ben whiterock wa Canada wakamuuzia Mbaazi...kuonana na Steven Noble wa Ireland wakamuuzia Maharage?...kuonana na Marcos de Sovie wa Mexico wakamuuzia Mchele?....kuonana na Mohammed Abdulkhadir wa kuwait wakamuuzia Mahindi?
Ni wakulima wachache sana waliofanikiwa angalau kuonana na Onyango wa Kericho hapo kenya na kumuuzia Maharage lakini Wengi walilanguliwa mazao yao humu humu ndani na MIDDLE MEN (watu wa kati), wazee wa dili, Madalali,..ambao asilimia 90 ndio wale wale wanasiasa au jamaa zao waliopigia kelele Ruksa ya kuuza nje......sasa hawa walanguzi ndio Wakauza nje vizuuri kabisa tena kwa faida kubwa iliyonona..walikuwa wana-export nafaka kwa sifa kana kwamba wapo kwenye Mashindano ya jumuiya ya Madola, wamepiga hela aisee!....wakati huo Wakulima walio wengi walikuwa wakijipongeza na Wanzuki, Chibuku na Chimpumu, ama hakika wajinga ndio waliwao
Kwani Ukame huu ni Mgeni?..mara kadhaa nchi imekumbwa na Ukame....lakini bahati mbaya Ukame wa Mwaka huu umeanzia Mifukoni mpaka kwenye ardhi...sio tu vijijini, wapo watu wanalala njaa hapa hapa mjini kwenye Mataa...na Chipsi wanaziona!
, wafanyeje sasa na Mirija imekatwa!...je tuendelee kusikiliza tena propaganda za Mlanguzi anayetaka kupiga tena hela kipindi hiki kupitia Stock yake ya dengu Ghalani?...au ni wakati wa kujitathmini tunatokaje hapa kama Taifa?
Mtu akiamua kwa hiari yake kulala chooni asitegemee akiamka atanukia Udi badala ya Kinyesi.
Serikali Chukua Hatua katika kusaidia pale panapohitaji Msaada....Wewe ndio Mama..Raia ni watoto...hivyo ndivyo ilivyo.