Walio wahi kusoma mchikichini na mapambano

fungi

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,539
4,668
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.
 
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.

mapambano ya wapi?pale karibu na Mwenge ama?
 
mi nayakumbuka majembe yangu Ambrose aka A-boy, mwalami, Mkandawile aka mkanda boy mzee wa fatiki duuh na wale tulio piga mkanda boy tujuane asee...
 
Babangida back 90's, mchikichini that time kipindi shilingi hamsini, jamaa alikuwa mchawi wa bialogy usipimie. Nilikuja kusikia jamaa kisha RIP, alazwe mahala pema.
 
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.

Moddy ni moja ya mbili ya MGOTE..sijui kama kuna fundi wa physics kama MGOTE pale mchikichini kwq sasa
 
Mgote keta kinyama aisee japo naye anajua sana ila Moody Physics naye yuko vzr ila mamanzi wengi ndo wapo kwa MOODY ila kwa MGOTE wagumu tupu
Kuna jamaa anaitwa MWARAMY naye alikua vzr sana kwa namba na slogani yake ya MAN vipi man...
 
mwaramy ,moddy , osama ,hidden.............................noumer sanaaaaaaa nakumbuka nilikuwa napokea ela na kuandika ratiba mpya za topic zinazoanza every monday kwa osama...........!ebwana eeeh watu tunatoka mbali kweliiii ..............eti now chuo nakula boom
 
mwaramy ,moddy , osama
,hidden.............................noumer sanaaaaaaa nakumbuka nilikuwa
napokea ela na kuandika ratiba mpya za topic zinazoanza every monday
kwa osama...........!ebwana eeeh watu tunatoka mbali kweliiii
..............eti now chuo nakula boom

Osama mzee wa kuzunguka nyuma anaenda kuonja then pind linaendelea.
 
Kuna jamaa mwingine alikua anaitwa Log alikua anapigisha pindi la Maths mchikichini,Ila Aiden mzee wa tabata alikua noma katika maths. Ila mitaa ya mapambano kulikua na mwalimu Essau pale Mesac alinipa banda la kiswahili sitamsahau huyu mwalimu.
 
Back
Top Bottom