Walio tawaliwa na ccm mnaweza fika huko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walio tawaliwa na ccm mnaweza fika huko?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyange, Oct 13, 2010.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kawaangalie wenye uongozi madhubuti wanavyo waokoa wenzao kwenye mgodi, si nyie mnao ahidi kununua meli iliyozama tangu 1977. mlipokuwa madarakani mbona hamkununua?, mnapoona mambo yanawaendea mrama mnatapatapa, mara bajaji, mara barabara hivi mlipokuwa madarakani nani aliwazuia hayo yote msiyafanye?.
  in Google, vist, chilean miners rescue effort
   
 2. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,211
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  [video]http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2010/10/101011_uokozi_live.shtml[/video]
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Watanzania tutamani kuwa na viongi mahiri kama wa Chile.
   
Loading...