Elections 2010 Walio hudhulia Kikao cha Siri Mwanza hawahapa,, Mmoja hajasema kitu

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Wale wazee wa kikao cha siri huko mjini mwanza kwaajiri ya kuweka mazingira mazuri ya CCM kushinda wameongea na watanzania,, kilamtu alikuwa akijiumauma na kusingizia publicity, ,hivi hawa watu wakienda kule usiku haiwezekani kurudi usiku bila Watanzania kujua? hii ndo maana ya kikao cha siri..

Mr. Gachuma anasema hakuwepo lakini hajasema alikuwa wapi, na kwenye barua yupo iliyosainiwa na Mwanza municipal Council Director Mr. Wilson Kabwe,,
Ridhwani anasema ahukwepo akitoa sababu nyingi zisizo aminika
Rostam Azizi anasema alikuwa South Afrika,, akiwadanganya wananchi kuwa yeye ni mtu wa Safari wakati kipindi hicho kilikuwa cha lala salama kwenye kampeni,, na kwenye Barua nayeye yupo
Lakini katika |Woote walioongea Kikwete hajaongea kwasababu anaona aibu ile barua inaonesha kila kitu...

Watanzania hatudanganyiki kwasababu kilicho andikwa mule ndicho kilicho fanyika lakini mulishindwa tu kufauli missio yao kwasababu watanzania wameamua kubadilika sasa
 
Wale wazee wa kikao cha siri huko mjini mwanza kwaajiri ya kuweka mazingira mazuri ya CCM kushinda wameongea na watanzania,, kilamtu alikuwa akijiumauma na kusingizia publicity, ,hivi hawa watu wakienda kule usiku haiwezekani kurudi usiku bila Watanzania kujua? hii ndo maana ya kikao cha siri..

Mr. Gachuma anasema hakuwepo lakini hajasema alikuwa wapi, na kwenye barua yupo iliyosainiwa na Mwanza municipal Council Director Mr. Wilson Kabwe,,
Ridhwani anasema ahukwepo akitoa sababu nyingi zisizo aminika
Rostam Azizi anasema alikuwa South Afrika wakati akiwadanganya wananchu kuwa yeye ni mtu wa Safari na kwenye Barua nayeye yupo
Lakini katika |Woote walioongea Kikwete hajaongea kwasababu anaona aibu ile barua inaonesha kila kitu...

Watanzania hatudanganyiki kwasababu kilicho andikwa mule ndicho kilicho fanyika lakini mulishindwa tu kufauli missio yao kwasababu watanzania wameamua kubadilika sasa

Kikwete anaumwa. Hawezi kuongea.
 
Hahahahahahaha Homa gani hiyo Tena?
ujue hawa jamaa wametufanya Watanzania ni Majuha kama wanayo tuita?
 
Oooo yeye hawakumtaja sana lakini sijui,, namwongelea Kikwete kwasababu order imetoka kwa hawowalioongea na mmoja asiyeongea Huyu Director yeye mpokea order hana cha kuongea
 
jamani hii kali japo si salama, hayo maagizo ya hiyo barua naona yote ya mekamilika, hakuna hata moja ambalo ccm hawakulitekeleza, na kali zaidi ni hilo la kuchelewesha matokea, mmmmmmh, ccm hawafai kabisaaaaaaaaa
 
Je kunacomenti hapo Tena kama uchakachuzi utaendelea mpaka lini tusichukulie poa jamani
 
Me nadhani kuna haja ya kuundwa tume huru ya kuchunguza uchaguzi ulikuwa na mapungufu gani na watu walichangia kuwepo kwa vurugu na kuwakosesha imani wapiga kura waliokuwa wakisubili matoke yatangazwe na yakachukua muda usiokubalika machoni pa wengi hata waangalizi walilisema hilo.

Hivyo basi NEC ikubali tu kuwa ilikuwa na mapungufu tena mengi na ndio yaliyo sababisha wananchi kutokuwa na imani na matokeo yanayotajwa mpaka sasa, na hilo swala la kuchelewesha matokeo kutangazwa kweli ndio lililo wafanya wananchi kujiuliza na kupoteza uvumilivu wa kusubili na kushinikiza matokeo yatangazwe kwa vurugu na kwa kuaaa kwenye malango ya manispaaa mikoani na wilayani usiku kucha
 
Kama Dr. Slaa anaitumia barua hii kama msingi wake wa malalamiko, hapo ameshashindwa na ikienda mahakamani hii barua itamwumbua sana.

Huhitaji hata kuwa na akili kubwa kujua hiyo barua ni fake. Na ikienda mahakamani itachambuliwa kama njugu.

Ubaya wa mahakama, wakigundua umetoa barua fake, madai yako mengine yote hata yale ya maana yanatupwa.

Hili la barua hii pamoja na lile la kontaina lenye kura fake huenda Slaa alitegeshewa makusudi na wajanja ili waanze kuthibitisha ni muongo na mropokaji.

Kibaya mwandishi ametaja na sehemu walipokutana. Mtu mmoja au wawili wakiwa na alibi kuonyesha isingeliwezekana wawe Mwanza wakati huo, madai yote yanaporomoka hapo hapo.
 
Kinachonitia wasiwasi ktk barua hii ni vipi Rithwaan anaweza kukaa na vigogo namana hiyo, yeye anaposition gani ya kumfanya akae nao meza moja ktk mambo ya chama ( japo bosi wake ktk immar advocates ndiye mwenye jiimbo), japo alikusanya signature za baba yake ktk uteuzi wa CCm kwa babayake. Halafu kwanini iwe ni mwanza tu, wakati chadema ilikuwa na nguvu karibia miji youte mijini (Arusha mjini, Moshi Mjini, ubungo,kawe, Mbeya na Iringa mjini nk) tatu uenyeji wa uandishi wa barua yenyewe ,watu wametajwa ni wale wale ambao kila mtu hataki kuwasikia, asa rostam na mwanza ilemela yeye inamuhusu nini? jamani naomba tuichambue barua hii ili tuweze kupata mwafaka, naomba maoni yenu
 
i dont think kwamba kuna watanzania wana mawazo butu kama hawa,, i dont know
 
Hiyo barua lazima iambatane na hii ya CHADEMA na huyu katibu wao wa mkoa ndiye awe wa kwanza kuhojiwa
ili athibitishe madai yake.
 
Swala la ridh1 mbona liko wazi kuhusika na mambo mengi tu ya nchi katika ngazi ya taifa au mdau hufuatilii habari?si ndiye aliyehusika na sakata la malipizi kwa kina masauni dhidi ya vita ya ufisadi wa mamvi na mwirani kwenye jengo la vijana?si ndiye alisababisha Bashe kuitwa siyo raia,si ndio mbinu hiyo hiyo baba yake aliitumia kumwangusha Salim 2005?kumwita sio raia pia alihusika na kifo cha karume?si ndiye alitemembeza form za baba yake?tangu upate akili autaratibu wa mtoto kutembeza form za urais ulisikia wap?si ndiye anafanya kazi kwa kampuni yenye kashfa ya ufisadi ambako pia baba yake aliwapromote wamiliki wawili wa ofisi hiyo kupata vyeo vya serekali?unategemea yeye kazi yake nin kama siyo kupromote ufisadi na mbinu chafu na kukwamisha maendeleo?Ndivyo familia yao ilivyo.
 
Back
Top Bottom