Walio hama CUF: Professa Lipumba anakuja kuhudhuria mazishi ya CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walio hama CUF: Professa Lipumba anakuja kuhudhuria mazishi ya CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Mar 4, 2012.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu nimeshindwa kuamini kauli hii ikitoka vinywani mwa walio kuwa viongozi waandamizi wa CUF kuwa kurejea kwa Profesa Lipumba M/kiti wa CUF Taifa hakutaleta mabadiliko yoyote kwani tayari chama kimesha jifia naye anakuja kushiriki mazishi yake Wanasema hata kama watu watakuwa ni wengi kiasi ni sawa umati watu walivyo kuwa wengi kwenye mazishi ya Sheihk Yahaya.

  Kwa upande mwingine Makamu M/kiti wa CUF taifa anasema sasa chama ndiyo kinaimarika baada ya hilo kundi kuondoka (akina Hamadi Rashid, et al) anasema hawa watu watu walikuwa mzigo kwa chama walisababisha chama kishindwe kusaa

  Source:- Startv saa 2 usiku leo
   
 2. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nami nimeisikia thru Star tv.
  Viongozi wa CUF wanahimiza taifa liende kumpokea Lipumba kwa kuiletea sifa nchi, huku wengine wakidai aje kuhudhuria mazishi na kisha matanga ya CUF.
  Mambo ya pilitiki hayo.
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  labda tujadili impact za Lipumba ndani ya CUF je anaweza kukifufua chama au ni kweli chama hakijafa
   
 4. B

  BARCA ON Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  huyu prof anajizalilisha kubaki cuf
   
Loading...