WALINZI wanapata mshahara mdogo sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WALINZI wanapata mshahara mdogo sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 5, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tuache masiala jamani.makampuni ya Ulinzi yanawanyonya vijana wa Tanzania kwa kuwalipa kipato kidogo sana ukilinganisha na kazi yao pamoja na risk wanayoikabili.nimeshuhudia salary slip ya mlinzi mmoja ikisomeka 105000Tsh.kwa mahesabu ya haraka hii ni sh 3500 kwa siku..jamani hata kama mtu hana elimu,tuangalie basi utu wakeiko wapi serikali iwatetee vijana wanaoumia kwa tabu ya mshahara mdogo.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  unajua mshahara wa madereva wa wakuu wa mikoa na wilaya?
  na walimu wa primary?
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Huu ni ukweli mtupu kwani kwa kipato walipwacho walinzi wa makampuni binafsi hapa nchini tunapoendelewa kuibiwa tusilalamike sama bali tutafute chanzo,

  Kampuni (kuna over heads za kampuni na lazima itengeneze faid) inamlipa mlinzi 7% ya wanachomotoza mteja...analipwa. Tshs 150,000 wakati lindo lake linaitengenezea kampuni Tshs 1,500,000.

  Mnyponge mnyonge ila HAKI YAKE MPATIE! Risky ni kubwa kwa walinzi; walipw kiasi kitakachofanya waipende kaI yao na kupunguza vishawishi jamani!
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mbako, Mshahara inategemea lindo na lindo. Kuna Malindo mfano ya nyumbani Mteja analipa kuanzia laki kwa mwezi hadi laki mbili, je Mlinzi alipwe kiasi gani?

  Kuna malindo ya maofisini ambayo Mteja analipia huduma za mlinzi moja kwa mwezi kiasi cha TZS 150,000 hado TZS 250,000. Je Mlinzi alipwe kiasi gani?

  Ofisi kama Mabenki, Ubalozini nk (Si Serikalini), Mteja nalipa kati ya TZS 250,000 kwa mlinzi kwa mwezi hadi TZS 500,000 kwa mlinzi kwa mwezi.

  Overheads za Kampuni ni pamoja na Response Team ya Patrol, Mitambo ya Emmergence na administrative costs.

  Security Industry bado iko chni kwa sababu ya ushindani usio na tija. Kuna makampuni Mlinzi analipwa TZS 70,000 PM.

  Kama una mlinzi Mwadilifu sana na amepitia mafunzo ya Ulinzi Ni PM. Kuna Mchongo wa Kampuni inayoendeshwa kisasa zaidi.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mkuu una sound like una kampuni ya ulinzi
  is it?
  walinzi wa ofisi ya kawaida kwa night peke yake
  mnafanyaje?awe na bunduki..
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbona nyingi hyo!! Mie namjua mlinzi analipwa 75,000/= kwa mwezi,Tena yupo kampuni kubwa Ultimate na wengine wapo G4S na Group Security!
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, ni mdau katika mambo ya Ulinzi, Consultancy, Silaha, Networking nk nk. Ila huwa nina interest sana na mambo ya Security na Intelligence.

  What we offer si Security Guards tu, bali Bodyguards/Closed Protections, Investigation/Detective Services (Marital cases only exceptional cases), Mafunzo ya kutumia Silaha ndogo na Services, Uniformed Security Guards full equipped with Digital Radio Calls (TETRA) na Silaha, Due Deligence Investigation kabla hujaingia mkataba wowote, nk. nk.

  Walinzi wetu Wanaanzia Laki 250 kwa Guard na wanakuwa na Gears zote including an Emmergence Back Up Team . . . .
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kwa hiyo nikihitaji ulinzi wa mlinzi mmoja for an office
  ni laki mbili kwa mwezi sio?
  kwa usiku peke yake?
  ni pm contacts basi..
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Au wa madereva wa wabunge for that matter? Ikumbukwe mshahara wa dereva wa mbunge huingizwa kwenye akaunti binafsi ya mbunge (bosi wa dereva) na hicho atakacholipwa dereva ni hiari ya mbunge!
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo Laki 250 ni Kwa Mlinzi Per Month for 12 Hours. Kama utahitaji a Special rate for some reasons nijulishe mapema. Walinzi wanalipwa juu kidogo kuliko hayo makampuni makubwa, pia huduma zenyewe are bit classified kama nilivyokwambia. Its a new co. Mimi sipo TZ muda mwingi huwa napatikana once a while, so in case utahitaji anything exceptional utanijulisha.

  Contacts:

  Contact Information

  Fast Brigade Response Limited (FBR)
  Tancot House, 2[SUP]nd[/SUP] Floor (After Mezannine, Opposite Luther House), Left Wing.
  Sokoine Drive / Pamba Road
  P.O. Box 21605
  Dar Es Salaam; Tanzania


  Telephone:

  +255 767 767 676
  +255 782 222 397;
  +255 782 820 820;
  +255 754 312 854;
  +255 784 312 854


  E-Mail:

  firstresponsebrigade@gmail.com
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Superman nitakuja hapo tancot house hapo simbanet nije kuomba kazi ya ulinzi.
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Negative. Sio SimbaNET, ni FBR.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ok Nitakuja Hapo FBR Tancot.
   
 14. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aaa duu yaani pamoja na zile extra kazi zisizo na tija bado wanalipya na Mbuge,huu ni uonevu....serikali inatoa shillingi ngapi kwao?
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kwa kawaida Serikali hutoa mshahara na posho sawa kiwango cha madereva walioajiriwa serikalini. Ila mshahara na posho hapewi dereva moja kwa moja, kwa hiyo mbunge akiamua anaweza (na wengi wanafanya hivyo) kukata panga.
   
 16. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  najua hili suala halipo mahakamani, hivyo linajadilika.kwa nini wasipewe moja kwa moja?
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hawakawii kukukwambia kuwa lipo mahakamani, so don't bet on it!
   
 18. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mbali na kiasi kidogo wanacholipwa walinzi hao,pia wanakatwa makato kiboa na mabosi zao, kuna fine za kijinga sana katika hayo makampuni ya uswahilini, 5,000 zinaondoka, utasikia hujapigwa buti dawa, umechelewa kupokea Call, asieee na ujinga mwingi ile kinoma, wale wa pale Victoria wanaongoza kwa unyanyasaji wa wafanyakazi wazawa, wana ubaguzi ile kinoma.
   
Loading...