Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Tanzania nchi ya amani kweli kweli lakini inayofuka moshi,siku mambo yakiharibika tutashangaa,kwani litatokea la kutokea na hatutakuwa tumejiandaa kukabiliana nalo kama mtindo wenyewe ndio huu.Viongozi wakuu wa nchi wanakuwa wenyewe huku walinzi wao wa karibu wakiwa mita 50 kutoka walipo hii haipendezi kabisa.Mazoea haya yatatugharimu siku moja.
 
mkuu icadon shusha mavitu ya Obama akiwa midlle east, halafu nimemwona yule jamaa anayemlinda Obama kwa karibu full time, embu ngoja niitafute ile picha yake niiweke hapa
 
610x.jpg

610x.jpg
Huyo hapo juu mwenye upara ndio leader wa security details ya Obama,

Nacheki live ya Egypty trip naona he is very busy...
 
20 DAY BODYGUARD / CPO COURSE CONTENT

  • Introduction to The Bodyguard (roles and responsibilities)
  • Introduction to Bodyguard Equipment
  • Surveillance Skills
  • Situation Awareness
  • Evasive Driving
  • Close Protection Vehicle Techniques
  • Anti Ambush Drills
  • Reconnaissance
  • Law and Legislation
  • Threat and Risk Assessment
  • Close Protection Skills (foot and mobile)
  • Interpersonal Skills
  • Route Selection
  • Search Awareness (Body / Vehicle / Venue)
  • Incidents and Dilemmas
  • Venue Based Security
  • Communication and conflict Management Skills
  • Quick Force Reaction (QRF)
  • Covert Radio Procedure/Communication
  • Video Training/Covert Digital Photography
  • Embus/Debus drills
  • Extraction Drills Under 'contact' Conditions
  • Operational Planning
  • First Aid
 
Wakubwa!
Hizi Chopper za Obama anazokuwa nazo abroad hivi huwa zina safirishwaje from US?, dont tell me kuwa Airforce one yaweza zimeza zile pia, 'coz they are damn big kimwonekano.
 
Wakubwa!
Hizi Chopper za Obama anazokuwa nazo abroad hivi huwa zina safirishwaje from US?, dont tell me kuwa Airforce one yaweza zimeza zile pia, 'coz they are damn big kimwonekano.

...kama ulikuwa D'salaam Joji Kichaka alipokuja, nadhani uliyaona haya 'madege' pia,... ndiyo yanayobeba magari, helicopter na 'vifaa vingine'...​
 
Wakubwa!
Hizi Chopper za Obama anazokuwa nazo abroad hivi huwa zina safirishwaje from US?, dont tell me kuwa Airforce one yaweza zimeza zile pia, 'coz they are damn big kimwonekano.

Manda,

I think so, that airforce one can contain them too. Actually with the two presidential limos. Mh!, Wamarekani hawaishi mikwara. I wonder kama Rais akienda Africa anaenda nazo pia?
 
I finally saw the black bag yesterday when Obama was in Germany
 
Manda,

I think so, that airforce one can contain them too. Actually with the two presidential limos. Mh!, Wamarekani hawaishi mikwara. I wonder kama Rais akienda Africa anaenda nazo pia?

...naaaaaaaaaaaaaaaam, kila aendapo, Global Master au VC-17 husafirisha 'the Beast', helicopter na 'vifaa' vingine :)

2575333118_9ae47e7253_b.jpg

3372435446_962f705a0e_o.jpg

3372436246_a5c98cb3e7_o.jpg
 
...naaaaaaaaaaaaaaaam, kila aendapo, Global Master au VC-17 husafirisha 'the Beast', helicopter na 'vifaa' vingine :)

2575333118_9ae47e7253_b.jpg

3372435446_962f705a0e_o.jpg

3372436246_a5c98cb3e7_o.jpg

Wow!,

Thanks for pics mbu!, hawa watu bwana hawaishi mikwara. They don't want anything from anybody, wanabeba vya kwao kila waendapo. I mean for security reasons too but, geez!, I can imagine hiyo mizigo yao...choppers, beasts, those black SUV'S. Yaani safari inakuwa shughuli haswaaa!

This's what we're talking bout when we say, "Taifa Kubwa"
 
Back
Top Bottom