Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Papa.
610x.jpg

610x.jpg

Ufaransa
610x.jpg
 
Kwa kuwa ligi imeshaisha ngoja tuikumbuke hii thread kidogo.

Obama akiwa Uturuki.
610xcmh.jpg
 
Duuuh....!!, Mazee, hawa jamaa wanabeba kilo ngapi vile popote walipo?!!

Jamaa karundika vyuma utafikiri amekula sumaku ya kiwandani na kujipitisha pale Gerezani Kariakoo!! Yaani jitu limebeba karakana nzima...

Kizito zaidi hapo ni hiyo ni hiyo P90 ambayo ni kama kilo 3 ikiwa fully loaded. Kwa hiyo ukijumlisha vyote labda kilo 5-6 hivi. Alafu pamoja na uzito wote huo bado wanatoka nduku hao.
 
Good stuff2watch,thankx4 sharing,keeping us posted.
Icadon,Naelekea kufikiri advance party of some SS tayari ina fanya vitu ndani ya Accra...
 
Notre Dame
365511941.jpg

Njemba mbili upande wa kulia wa Obama.
365511943.jpg

365511940.jpg

Icadon,

Hiyo siku hapo juu nilicheka sana.........maana ilibid jamaa naye avikwe u "PhD" fulani.....lakini kipara chake na ule u-serious wake haujifichi....inabidi abadilishwe sasa...........au?
 
President Barack Obama practices his golf swing at an outdoor hold prior to an event at the Miguel Contreras Learning Center, Los Angeles, California 3/19/09.
 
Attachments

  • U'vegot2Use U'rImagination Smtms..jpg
    U'vegot2Use U'rImagination Smtms..jpg
    68.1 KB · Views: 138
Icadon,

Hiyo siku hapo juu nilicheka sana.........maana ilibid jamaa naye avikwe u "PhD" fulani.....lakini kipara chake na ule u-serious wake haujifichi....inabidi abadilishwe sasa...........au?

Ni Tanzania tuu ndio tunaaminishwa kuwa walinzi wa viongozi hawatakiwi kujulikana. Ningefurahi sana kama watu wa PSU wangekuwa wanakuja kwenye hii thread na kutuelezea mawili matatu kuhusu kazi zao za kila siku. Na hatutokwenda nje ya OPSEC.
 
kwi kwi kwi kwi.......basi inabidi wabadilishwe sasa hivi............kwani wanajulikana.........
 
Mods/admin tafadhali kuna uwezekano wa kuifanya hiyo post ya kwanza isionekane?

Ogah, mie bado natamani sana jamaa wa PSU waje hapa watupe elimu kuhusu kazi yao, kuna forum mmoja nilikuwa nakwenda kabla haijafungwa wamejazana jamaa wa Close Protection kutoka sehemu mbali mbali duniani alafu wengi wao walikuwa wanajuana.

Chini hapo ni intro documentary ya secret service, ninayo kwenye dvd najaribu kuicompress na kuiupload online.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=00UixilvvsE]YouTube - National Geographic: Inside the U.S. Secret Service[/ame]
 
Back
Top Bottom