Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

Ngoja tuendeleze naona huu uzi ulishasinzia. Hao ni unit kutoka Revolutionary Guards wanaomlinda President Rouhani

image.jpg

image.jpg

image.jpg

image.jpg
 
Vijana wa mwanae Brig. Muhoozi wakiwa hapo New York wakimlinda mzee Museveni. Hao ni Uganda Special forces Group unit inaitwa PGB

image.jpg
 
duuu Mkulu wa Iran hiyo detail .......organisation yake inaweza kuwa loop hole kwa usalama anaofikiria kuupata ..........hawana hata art of posing
 
Uzi umekufa huu, waungwana wako wapi?

Hapa JK akiwa na walinzi waliovaa sawa na yeye, suti nyeusi na tai nyekundu na pia vimo vyao viko almost sawa, hii huwa ni camouflage nzuri kwani inakuwa sio raisi kumtambua raisi
image.jpg

image.jpg

image.jpg

Ulinzi wa sasa wa Magu, Hapa ni tight Marking, huwezi kupenya hapo kwa njia yoyote ile
image.jpg
 
Putin motorcade
image.jpg

Uganda, ilikuwa kwenye msafara wa Museven
image.jpg

Kagame, hao wote waliokuwa juu ya ghorofa walishachunguzwa na kuonekana hawana silaha za kidungulia mbali (snipers riffle)
image.jpg

Hapa haraka haraka utawaona walinzi watano tu walio karibu na Kagame, lakini ukiangalia mwisho mwa huo umati utaona kuna wengine kama saba, ambao wako serious na hawako kabisa kwenye kushangilia na
image.jpg
 
NCHINI RWANDA AKIONDOKA KAGAME MADARAKANI WATU WATA MKUMBUKA SANA MAANA YEYE NDIYE ALIYETUMIA KILA DAMU ILIYO MTII KUFUTA YALE MAUAJI YA KIMBALI mwaka 1994 (HILE VITA YA KIKABILA). Tuliosoma historia kuishia form 4 tunajua ukweli kidogo ndo maana tunaishia kuandika hapa....ila wale walosoma historia mpka vyuoni amna budi kuendeleza.
 
Mkuu hapa ni picha tu
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom