Walinzi Wa ultimate securiy wafanyiziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walinzi Wa ultimate securiy wafanyiziwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlabondo, May 4, 2011.

 1. M

  Mlabondo Senior Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mnamo majira ya saa kumi alfajiri nikiwa nimelala Nyumbani, jirani Saint Joseph Engineering university. Nilisikia sauti ya mtu akilia anaomba msaada kuwa ana uwawa.

  Niliamka na kuwa amsha majirani ili tukatoe msaada ila wakanikatisha tamaa wakidai atakua ni kibaka amekamatwa na walinzi Wa saint Joseph.

  Nikarudi kulala ila baada ya mda nikasikia kilio. roho iliniuma sana nikajitolea kwenda kuona kinachojiri. Majirani wengine wakaniunga mkono. Kufika kwenye maeneo ya chuo tukakuta gari ya ultimate hilux pickup iko milango wazi.

  Na kuna watu wamefungwa kamba mikononi mdomoni na miguuni. Nilidhani ni wezi kumbe ni Wale walinzi Wa ultimate wamevamiwa na majambazi na kupigwa vibaya wengine wamepoteza fahamu wengine wanavuja damu vichwani.

  Tukawafungua kamba na kupiga Simu Police.

  NILICHO JIFUNZA UKISIKIA MTU ANALIA ANAOMBA MSAADA JUST GO YOU CAN SAVE SOMEONES LIFE.
   
 2. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapaq pole sana hawa waliofikwa na uvamizi huo.
  Enhe....,alafu hao majambazi wamefanya tukio gani jingine zaidi ya kuwajeruhi hao walinzi?Tujuze.
   
 3. M

  Mlabondo Senior Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wamekwiba Simu zao na mmoja Wa security anatembea na ka Bank kake bubu anakopesha kwa riba wamechukua laki 9. Ofisini wamekomba some computers na vingine tusivyojua
   
Loading...