Kiongozi hii ndio AFRICA wakati huku mitaani tunadhani kung"ang"ania Mamlakani nikutokana na kutaka PESA lkn kunazaidi ta Pesa manake mtu km M7 na Genge lake cdhani km wanashida ya Pesa,,,!!
Wakiondoka madarakani zinakata Mzee. Kumbuka wamezipatia huko kiulani sana. Isitoshe hawawezi kujua atakaefata atawafanyia nn coz hela zao ni za kupiga. So wanaendelea kuwepo kulinda walichochuma isivyo halali.