mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Yaani hii mambo yote ya kufunga bara bara ili PM apite au familia yake ikatize ndo kwishnei ....yaani kuna uwezekano tena akaanza kuishi kwa kujificha na kukimbia kimbia mafichoni kama digi digi au shekau wa boko haram , yaani maisha ya siasa ni kama gwaride.
Ikisikika nyuma geuka wa mwisho amekuwa wa kwanza