Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza Mh. Raisi Mama yetu Samia Suluhu Hassani kufika salama huko marekani.

Pili, nikirudi kwenye kichwa cha habari cha mada hii, jana nilipokuwa mahali nikipata zangu kahawa nilibahatika kuona katika mitandao clip ikitembea ikimuonesha Mh. Rais akilakiwa na kikundi kidogo cha wanawake wasio na maadaili (kuanzia mionekano na mavazi yao) pindi alipokanyaga ardhi ya Marekani.

Nilipokuwa nikiitazama kwa umakini ili Clip nilishtushwa sana kama sio kunung’unika kwa kitendo alichofanya mmoja wa walinzi wa Mama ambaye kwa makusudi kabisa huku akicheka cheka huku akisahau miiko yake ya kazi ambayo ni ULINZI na sio kwenda kufanya majukumu ya KI-CELEBRITY ambapo kwa macho yangu nilimuona akipokea simu ya binti mmoja ambaye hata kwa mavazi hakuwa kavalia vyema na mbaya zaidi dada huyu alikuwa akimtukana Hayati John Pombe Magufuli pindi mama akihudumu kama makamo wake wa Rais katika awamu ya tano.

Na binti yule akaruhusiwa kumsogelea na kupiga picha na Mh. Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, tukirudi kwenye mada wote tunafahamu kilichotaka kumpata Rais wa Marekani Hayati John Ford tarehe 05/09/1975 katika jiji la Sacramento liliopo California ambapo walinzi wake walipuuzia kama hawa wa jana na kumrusuhu binti mmoja kumsogelea Rais kwa lengo la kumsalimia na mwisho wake aliishia kutoa bastola ili kumtandika risasi Rais John Ford, ikawa bahati yake walinzi wake wakawa wamemuwahi yule binti na kumuondosha haraka Mh. Rais katika maeneo yale.

The same scenario of what happened yesterday “Kuishi kwa mazoea” Kiuhalisia hakupaswa kufanya vile najiuliza tu ingekuwaje kama ile simu imefungwa viambata vya ulipuzi likatokea la kutokea ni nani angebeba lawana? Embu walinzi wajitahidi kuwa makini na kuwa flexible waache kuishi kwa mazoea, kwani umdhaniae siye kumbe ndiye.

Mwisho, Wakati mwingine watambue majukumu yao ya kazi na wafahamu wanamlinda nani katika taifa hili, protokali za kazi ziheshimiwe.

Moderator naomba uipandishe ile video iliyo trend katika mitandao ya kijamii haswa twitter.
Umesaidia na kunirahisishia uzi niliokuwa nautengeneza kuhusiana na hilo hilo. Ifikie kipindi usalama wa rais isiwe staha au utashi wa rais aliyepo madarakani.

Ni dharau kubwa, mtu aliyetukana na kudhalilisha taasisi ya urais tena bila kuchukuliwa hatua kabla leo anairambaramba kwa uzembe bila hata check and balance. Shauri Yenu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Tz nayo Rais nae ana ulinzi? Tz Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee Rais basi.
ile tabia ya Rais kuongea kwenye roof ya gari ni moja ya ishara inayo tambulisha Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee tu maana ni hatari sana hata Sniper aliekaa mita 1500 anaweza kumtungua

Acha NewYork wawafundishe jinsi ya kulinda viongozi maana ulinzi wa Tz ni bure kabisa
 
Mwambie akupe ulinzi wewe, mambo mengine yanatia kinyaa tu na roho yako mbaya
 
Umesaidia na kunirahisishia uzi niliokuwa nautengeneza kuhusiana na hilo hilo. Ifikie kipindi usalama wa rais isiwe staha au utashi wa rais aliyepo madarakani.

Ni dharau kubwa, mtu aliyetukana na kudhalilisha taasisi ya urais tena bila kuchukuliwa hatua kabla leo anairambaramba kwa uzembe bila hata check and balance. Shauri Yenu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Its total a “BAD IMAGE” taasisi yote ya uraisi na yeye binafsi hili la kukutana na Mange limechafua taswira nzima kwao.

Binafsi nimefedheheka sana na tukio lile.
 
Wako serious na wanaijua kazi yao ndio maana wskapiga picha wao wenyewe. Ile Ni mbinu ya kiusaslana hivyo acheni kupotosha. Wasiojua
 
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza Mh. Raisi Mama yetu Samia Suluhu Hassani kufika salama huko marekani.

Pili, nikirudi kwenye kichwa cha habari cha mada hii, jana nilipokuwa mahali nikipata zangu kahawa nilibahatika kuona katika mitandao clip ikitembea ikimuonesha Mh. Rais akilakiwa na kikundi kidogo cha wanawake wasio na maadaili (kuanzia mionekano na mavazi yao) pindi alipokanyaga ardhi ya Marekani.

Nilipokuwa nikiitazama kwa umakini ili Clip nilishtushwa sana kama sio kunung’unika kwa kitendo alichofanya mmoja wa walinzi wa Mama ambaye kwa makusudi kabisa huku akicheka cheka huku akisahau miiko yake ya kazi ambayo ni ULINZI na sio kwenda kufanya majukumu ya KI-CELEBRITY ambapo kwa macho yangu nilimuona akipokea simu ya binti mmoja ambaye hata kwa mavazi hakuwa kavalia vyema na mbaya zaidi dada huyu alikuwa akimtukana Hayati John Pombe Magufuli pindi mama akihudumu kama makamo wake wa Rais katika awamu ya tano.

Na binti yule akaruhusiwa kumsogelea na kupiga picha na Mh. Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, tukirudi kwenye mada wote tunafahamu kilichotaka kumpata Rais wa Marekani Hayati John Ford tarehe 05/09/1975 katika jiji la Sacramento liliopo California ambapo walinzi wake walipuuzia kama hawa wa jana na kumrusuhu binti mmoja kumsogelea Rais kwa lengo la kumsalimia na mwisho wake aliishia kutoa bastola ili kumtandika risasi Rais John Ford, ikawa bahati yake walinzi wake wakawa wamemuwahi yule binti na kumuondosha haraka Mh. Rais katika maeneo yale.

The same scenario of what happened yesterday “Kuishi kwa mazoea” Kiuhalisia hakupaswa kufanya vile najiuliza tu ingekuwaje kama ile simu imefungwa viambata vya ulipuzi likatokea la kutokea ni nani angebeba lawana? Embu walinzi wajitahidi kuwa makini na kuwa flexible waache kuishi kwa mazoea, kwani umdhaniae siye kumbe ndiye.

Mwisho, Wakati mwingine watambue majukumu yao ya kazi na wafahamu wanamlinda nani katika taifa hili, protokali za kazi ziheshimiwe.
Kwani hapo wanakuwa wanapambana na upinzani .. Wapo makini kupambana na upinzani kuliko vitu vya msingi
 
Kwani hata yakimpata yatakayompata wewe au mtanzania wa kawaida ana hasara gani?

Rais John F. Kennedy alipigwa risasi ya kichwa akiwa kwenye gari la wazi, ubongo ukasambaratika wote na kufa papo hapo. Je, raia wa Marekani walipata hasara gani kwa kifo cha Rais wao?

Mwendazake alijifia mwenyewe au aliuawa, hakuna ajuaye, lakini vyovyote iwavyo tumepata hasara gani??

Hata huyu aliyepo sasa hivi akifa hakuna hasara yoyote, maisha yataendelea tu.
 
Kwa hiyo walinzi wanawake wako "chini ya viwango"?!!

Acha dharau ndugu "mjeda"
Sio dharau uwo ndo ukweli nenda 92 kama utakuta komandoo mwanamke askari ni mwanaume tuu wanawake wapo kwa ajiri ya molali jeshini mwanamke mwanamke tuu...
 
Acha roho mbaya. Kwani mlinzi wa rais sio binadamu hadi ashindwe kuchukua simu na kumpiga Mange na rais? Acheni kuwatukuza watu kama vile hawajazaliwa. Huu utukufu ni mentality tu za kidunia lakini walinzi wa rais ni watu kama wajomba zako tu huko kijijini.
...Sio suala la roho mbayaa Mkuu. Katika Watanzania wote waliokuwa pale Mange aliona mpe Mlinzi wa raisi simu yake apigwe picha akiwa na raisi?
Kwa nini?
Si angeweza kumpa yoyote aliyekuwa palr?
Yaani bodyguard wa raisi apoteze concetration ya kumlinda raisi ampigie mtu picha?
Kila mtu akifanya hivyo kwa kila bodyguard kutakuwa na ulinzi wa raisi kweli?
Kuna uwezekano Mange anafahamiana na yule Bodyguard lakini haikupaswa kuwa pale hata Bodyguard akiwa kazini kumlinda raisi wetu.....
Hakuna suala la Roho Mbaya hapo. Ni Kanuni tu zinapaswa kufuatwa mkuu.
 
Sasa Tz nayo Rais nae ana ulinzi? Tz Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee Rais basi.
ile tabia ya Rais kuongea kwenye roof ya gari ni moja ya ishara inayo tambulisha Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee tu maana ni hatari sana hata Sniper aliekaa mita 1500 anaweza kumtungua

Acha NewYork wawafundishe jinsi ya kulinda viongozi maana ulinzi wa Tz ni bure kabisa
I like that so powerfull..
 
Sio dharau uwo ndo ukweli nenda 92 kama utakuta komandoo mwanamke askari ni mwanaume tuu wanawake wapo kwa ajiri ya molali jeshini mwanamke mwanamke tuu...
Kwani ni lazima mlinzi wa Rais awe komandoo wa jeshi bwana mjeda?!!

Kwa hiyo na uaskari wako hapo kambini unaweza "kuwatikisa kimapambano" hao dada Walinzi wa mh.Rais wetu kipenzi?!!😲😲 🤣🤣
 
...Sio suala la roho mbayaa Mkuu. Katika Watanzania wote waliokuwa pale Mange aliona mpe Mlinzi wa raisi simu yake apigwe picha akiwa na raisi?
Kwa nini?
Si angeweza kumpa yoyote aliyekuwa palr?
Yaani bodyguard wa raisi apoteze concetration ya kumlinda raisi ampigie mtu picha?
Kila mtu akifanya hivyo kwa kila bodyguard kutakuwa na ulinzi wa raisi kweli?
Kuna uwezekano Mange anafahamiana na yule Bodyguard lakini haikupaswa kuwa pale hata Bodyguard akiwa kazini kumlinda raisi wetu.....
Hakuna suala la Roho Mbaya hapo. Ni Kanuni tu zinapaswa kufuatwa mkuu.
Kwani mh.Rais hana Walinzi wengine nyuma ya huyo bodyguard?!!!

Huyo bodyguard anaitwa(ADC)...mpambe wa Rais...pamoja na kumsaidia mambo madogodogo....we huoni akimfuta hata JASHO?!!
Umeshawahi kuwaona wengine wakimfanyia hayo?!!!

So ishu ya Mange mnaikuza sana.....

#SiempreJMT
 
Sasa Tz nayo Rais nae ana ulinzi? Tz Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee Rais basi.
ile tabia ya Rais kuongea kwenye roof ya gari ni moja ya ishara inayo tambulisha Rais hana ulinzi ila ana watu wa kuzuia Raia wasimsogelee tu maana ni hatari sana hata Sniper aliekaa mita 1500 anaweza kumtungua

Acha NewYork wawafundishe jinsi ya kulinda viongozi maana ulinzi wa Tz ni bure kabisa
😲😲😲😲🤣🤣

Haya jifurahishe ndugu....
 
Ulinzi wa Rais awapo nje ya makazi aliyofikia ni wa nchi husika akiwa ndani ya hotel/makazi ni jukumu la walinzi wa Rais. Hivyo akiwa hotelini au ubalozini ni jukumu la team ya Rais kumlinda
Umesoma vizuri alichokuandika mtoa mada? Ametoa mfano ambao unapingana na ulichokisema.
 
KATIKA MASUALA YA ULINZI YAPO MAMBO YA MSINGI SANA HUYA YANAANGALIWA ACTIONS ZA MHUSIKA KITAIFA NA KIMATAIFA,MF BIDEN AKIJA TZ,AU EAST AFRICA PANAJULIKANA KABISA HAPA NI SEBULE YA MAGAIDI,SO ULINZI LAZIMA UWE MKALI,SO ULINZI MKALI UENDANA NA BACKGROUND HISTORY YA ENEO HUSIKA,HIVYO ULINZI WA VIONGOZI WETU KWA NCHI ZILE HUWA SIO MKALI SANA KWA SABABU HAKUNA PRESHA KUBWA YA KIUPINZANI KIMATAIFA
Tafadhali aisee! Sehemu ambako mass shootings zinatokea mara kwa mara? Sehemu ambako inasemekana ndege zilitumika kama silaha za maangamizi?
 
Unafahamu majukumu yake? Kulikuwa na ulazima gani wa yeye kupokea simu na kuipitisha kwa msaidizi mwingine what if ile simu ilikuwa imeungwa na kilipuzi chochote na madhara yakitokea nani wa kulaumiwa?

Walinzi hutakiwa kuwa FLEXIBLE hawapaswi kuishi kwa mazoea hata siku moja kwa kitendo kile cha jana wanadhidi kuuthibitishia umma kuwa hawako serious na majukumu yao.
Kweli mkuu sifa mojawapo ya walinda usalama huwa wana suspect kila kitu
 
Back
Top Bottom