Walinzi wa Museveni & Gaddafi watwangana vikali- Karume Asukumwa!!!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
A fight between Ugandan and Libyan presidential guards sparked chaos during a ceremony attended by the heads of state from 11 African nations on Wednesday.


Libyan leader Moammar Gadhafi and Ugandan President Yoweri Museveni attend the opening of the mosque.

1 of 2 Several of the guards to the visiting heads of state from Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, Mali, Somalia, Sudan and Djibouti sustained serious injuries in the fight, which included punches, kicks and the drawing of guns.

No leaders were hurt in the melee, though several were knocked over. Several journalists also were caught up in the fracas and suffered injuries or lost their grips on cameras and recorders.

The incident occurred at the opening of a massive Gadhafi National Mosque in Kampala, a structure begun by the late Ugandan dictator Idi Amin in 1972 and completed with financing from Libya, according to African media reports.

Minutes after Libyan leader Moammar Gadhafi and his host, Ugandan President Yoweri Museveni, jointly unveiled a plaque to mark the event, the Libyan guards pushed away the guards of other delegations at the mosque's entrance.

The Ugandan guards -- who had traded hostilities with the predominantly-Arab Libyan guards at every joint event since Gadhafi's arrival in the country Sunday -- reacted with fury and fought back.

Museveni briefly lost his balance when a hefty Libyan guard pushed him to a wall. Another Libyan guard pushed Rwandan President Paul Kagame, who also lost his balance but was caught by his own guards.

The vice president of Tanzania was knocked over by fighting guards as he was taking his shoes off to enter the mosque.


Guards to the rest of the visiting presidents and prime ministers kept their respective leaders out of the fray, with some drawing their guns as the dignitaries looked on in disbelief. Some leaders -- notably those from Somalia, Burundi and Djibouti -- were visibly uneasy as guns were drawn on all sides.

By the time the fight was over more than six minutes later, about a dozen presidential guards were left bleeding from compound fractures and the Libyan and Ugandan protocol officials traded bitter accusations of disrespect and racism.

"What are your people up to? Do you want to kill our leader?" a Libyan protocol official said to his Ugandan counterpart.

The Ugandan official, who declined to be named, shouted back, "Why do think you're superior? What makes you think Uganda has any ill intention against Gadhafi?"

The Ugandan official said Museveni's guards were simply doing their job as security for the host country and had a right to respond when the Libyan guards pushed them back.

It has taken 36 years to complete the giant mosque on a hill in the heart of Kampala. It used to be a colonial fort named after British Capt. Frederick Lugard.

The mosque can accommodate as many as 17,000 people at one time, according to the engineers, who call it the largest mosque in sub-Saharan Africa.

Many Muslims interviewed said the mosque's opening evoked sweet memories of Amin, the deceased dictator.

"It is a great day and thanks be to Allah for the completion," said Salim Abdul Noor, 39. "This should remind us that while Amin is demonized as Africa's worst dictator, there are many things he did for this country that successive governments largely depend on, and much of the completed installations and structures like this beautiful mosque was Amin's dream, may Allah rest him in peace."

The Swedish vice president of the European Islamic Conference, Adly Abu Hajar, 57, said the mosque heals rifts in a religion introduced to Uganda in 1844 by Arab slave traders.

"I find this complex has brought unity among Muslims in Uganda. There have been so many factions, but this attraction has brought them together, identifying themselves with a common home."

The fight prompted a crisis meeting by Ugandan security authorities, after which invited diplomats from mainly the European missions in Uganda expressed dismay.

"It's disgrace. It shows there is something wrong yet unknown between the two parties," said the head of one European mission in Kampala, who declined to be named.

The police chief, Maj. Gen. Kale Kayihura, and the head of the army, Gen. Aronda Nyakairima, declined to comment on the fight.

But Capt. Edison Kwesiga, the spokesman of the Ugandan Presidential Guard Brigade, confirmed their hostile relationship with the Libyans.

"It is our responsibility to ensure the safety of any visiting head of state. We have to do our job using any means. But our Libyan brothers always want us to fail. True, it's not the first time they come and act as you see," Kwesiga said

My Take:
Need explanation from Ugandan authority, apology and assurance that something like that will not happen again. Yaani amekuja Bush Tanzania, hakuna njiwa aliyedondoka, anakuja Gaddafi ndiyo mbingu zitetemeka. Huyu jamaa akija Dar sijui masecurity wetu watafanya nini... Gademu!
 
Let it remains as news really and not a subject to start to have very long discussions.
 
Nasikia gurads wa Gaddafi ni wanawake ndiyo wenye maguvu namna hiyo ama leo walikuwa wanaume ?
 
Wooow, Jamani hakuna mkanda au U-Tube na sisi tufaidi hii sinema?

Of course, Ghadafi naye anastahili kupewa hadhi kama wanayopewa akina Kichaka, si katoa fedha yake?

Mwishowe tuazoea tu, mradi omba omba yetu inaendelea.
 
swali langu, mbona viongozi wengi walidakwa iweje wa kwetu mabodigani walikuwa wapi?
 
swali langu, mbona viongozi wengi walidakwa iweje wa kwetu mabodigani walikuwa wapi?


Mkuu,

Inaelezwa kwamba Brigedia ya ulinzi wa raisi Museven PGB, ndio waloanzisha vurumai hio baada ya kuona kwamba wengi wa walinzi wa Gadaffi walikuwa hawaeleweki kutokana na kuvaa manguo yanayofanana na kiongozi huyo.

Sasa kilichotokea ni kwamba wote hao walitaka kuingia sehemu ya VIP ambamo walikuwemo maraisi wote husika na kupelekea hayo masumbwi kutupwa.

Kwa hio suala ni kwamba walinzi wa pande zote mbili walichemsha kwa kutokuwa na utaratibu mzuri katika kupeana "parameters" za kazi yao hio.

Si unajua tena mambo yetu sisi waafrika kila mara ni watu wa pilikapilika.
 
.....hivi huyo Shein alikuwa kabeba mkasi wake wa kukatia utepe?? au?
......isije ikawa wamemsukuma baada ya kujisahau na kutaka kukata utepe wakati yeye si mgeni rasmi( maana nasikia imekuwa kama reflex arch ya knee jerk of sort kati yake na tepe...)


.......kukosa kazi za kufanya, ya msikiti tu, tena uloanza kujengwa na dikteta, una draw viongozi wa nchi 11 kati ufunguzi wake?? mie pia ni muislam, lakini hii ni ridiculous!! aibu kwa afrika na aibu kwa tanzania, yaani ile kuthubutu kumtuma makamo wake wa raisi ktk ufunguzi wa msikiti ktk nchi jirani. yaani wataka kusema haya ni matumizi halali ya fweza za walipa kodi!!??? ama kweli gademu, na hivi ndivyo tulivyo...GD Tanzania!.

Nilitaka kuhoji hiloi gathering lakini nikasema wacha mie ni Myahudi si Mkristo si nisije itwa mdini bure lakini inalate maswali mengi sana.Viongozi 11 for what ? Yaani gaddafi amekuwa ka Bush kadogo Africa ?
 
Waarabu ni wabaguzi kupita kiasi;wanajiona wao ni viumbe muhimu kuliko wote.Hii imetokea baaada ya uvumilivu mkubwa naona waganda wakasema sasa basi liwalo na liwe.
 
Nasikia gurads wa Gaddafi ni wanawake ndiyo wenye maguvu namna hiyo ama leo walikuwa wanaume ?

Walinzi wanawake wa Gadaffi ni wa kwake binafsi yaani personal na wanaitwa Amazonian. Ni wasichana warembo mabikira na wamefunzwa kuua kwa ama silaha au mikono yao.

Lakini hawa ni walinzi maalum kwake pale anaposafiri kwenda nje ya Afrika kama Ulaya na labda siku moja USA.

Alipokwenda France aliandamana na akina dada hao na kwa kweli ni warembo na wanaonekana wamekwiva kwa mafunzo.

Si unajua tena.
 
Msikiti huo una nini hadi utake kuchukua nyongo ya Sjein bad najiuliza mahela na viongozi wote hao kisa msikiti .
 
Walinzi wanawake wa Gadaffi ni wa kwake binafsi yaani personal na wanaitwa Amazonian. Ni wasichana warembo mabikira na wamefunzwa kuua kwa ama silaha au mikono yao.

Lakini hawa ni walinzi maalum kwake pale anaposafiri kwenda nje ya Afrika kama Ulaya na labda siku moja USA.

Alipokwenda UK aliandamana na akina dada hao na kwa kweli ni warembo na wanaonekana wamekwiva kwa mafunzo.

Si unajua tena.

Ninasubiria bado picha za tukio ili kuona vile walinzi wa mu7 walivyopewa kibano na wale wa Gadafi..... Lakini, walinzi wa Shein walikuwa wapi? naona kuna mtu ataachishwa kazi muda si mrefu hapa!
 
Walinzi wanawake wa Gadaffi ni wa kwake binafsi yaani personal na wanaitwa Amazonian. Ni wasichana warembo mabikira na wamefunzwa kuua kwa ama silaha au mikono yao. ...
Si unajua tena.

they can come and guide me any day!
 
samahani, nilikuwa naota tu! ila hawa mabodyguard wetu wako wapi.. na waganda lazima waombe radhi..
 
MK, just heads up Shein yuko India, so nadhani hiyo story ina utata kidogo au labda kama ilikuwa ni rais wa Zanzibar ambaye naamini alikuwa Uganda.

Ebu fuatilia pale kwa wale ndugu zetu ujue ilikuwa vipi mimi niko busy kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom