Walinzi wa mkuu wa kaya wanapojipa likizo wakati wa kazi

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Walijipa likizo kwa kuwa JK alikuwa na waumini wenzie.
 

Attachments

  • GO9G3375.JPG
    GO9G3375.JPG
    54.6 KB · Views: 2,605
ndio maana mzee ruksa alizabwa kibao na mpita njia!ukitaka kumdhuru kiongozi wa tanzania nenda kwenye shughuli za kijamii walinzi hujisahau sana
 
mmmh aliikuwa kenye mdumange au?
asa kwanza alindwe wanini wakati
yule mzee alishamkinga na yale madubwana yake
 
Mwenye shati la kitenge cha njano na wenye suti nyeusi ndiyo wenyewe hao hebu waangalie vizuri walivyoshughulika. Ila binaadamu akitaka lake huwezi kumzuia.

Unakumbuka Reagan licha ya kuwa na FBI kibao ambao walikuwa wamejipanga strategically kuzuia hatari yo yote lakini jamaa alimuwahi na kumtwanga risasi.
 
Back
Top Bottom