Walinzi binafsi kwa Kondeboy na Diamond ni Business branding.

Mmh! Kumbe sio bulletproof zile?

Ila yatapita tu maana watanzania wanaigana mwisho wa siku watakuwa wanatembea na masai as bodyguard.

Mnakumbuka zamani walinzi walikuwa wamakonde baadae masai wakateka soko basi kama haya yatapita hivyo hivyo
Nakuambia pale ikisikika shaba paa! Imepigwa juu ndio utajua uwiano wa TZ bodyguard na mwanariadha.
Maana kuna mmoja utamkuta Magomeni, mwingine keshafika Buguruni nk na wote hawajui wamefikaje huko mbali na hali ya hewa ndani ya nguo zao imeharibika.
Hiyo kazi sio sanaa bali ni kujitoa nafsi to protect your package.
 
Nakuambia pale ikisikika shaba paa! Imepigwa juu ndio utajua uwiano wa TZ bodyguard na mwanariadha.
Maana kuna mmoja utamkuta Magomeni, mwingine keshafika Buguruni nk na wote hawajui wamefikaje huko mbali na hali ya hewa ndani ya nguo zao imeharibika.
Hiyo kazi sio sanaa bali ni kujitoa nafsi to protect your package.
Hahah

Kabisa mkuu.
 
Unajua inasikitisha mtu kuwa hujui na kujifanya kuwa ndio wewe unajua sana, hapa namzungumzia kile kinachoendelea kwa Harmonize na Diamomd hawa jamaa wameonekana na walinzi wengi na baadhi ya watanzania wasiojua dunia inazungukaje wanatoa comment 'ushamba' kama wewe mmoja wao nasema wewe hata kufanikiwa kwenye biashara uwenda ikawa ngumu sana. Hizo showoff na machejo ya hawa watu ndio biashara yenyewe wanaji-brand inawafanya muda wote kuteka attention ya public mbali Kampuni yoyote ile ikitaka kufanya Deal hatuwezi fanya Deal na mtu mzembe wanaangalia biashara ipo wapi So msanii anayefanya vizuri, anayejua kuteka attention za watu na kutengeneza kiki Deal lazima liwe kwake Voda watakuwa wajinga wakisaini Deal na Kiba, Aslay...ila watakuwa wajanja wakisaini Deal na Diamond au Kondeboy wanaangalia Attention ipo wapi ila sie watanzania tusiojua biashara tupo ushamba ushamba mbona MO na Bakharesa awafanyi hivyo..You need to differentiate MO ni nani na Diamond ni nani.

Bodyguard ni ulinzi hii dunia imechafuka usione upo kwenye amani una-drink Azam ukwaju ila kwa mtu kama Diamond na Kondeboy pia ninjia ya kuji-value/Branding na ndio maana tunaona Diamond anazidi kufanikiwa na Kondeboy anafata nyayo hizohizo atakuja kula Deal nyingi tu baadae tusiwe na imani potofu “Kiba anaishi kawaida” uwo ni uzembe wake hajui biashara wacha wanaojua biashara wakamate Deal nyingi.

uko sahihi

mimi mshabiki wa Kiba, ni kama karidhika hivi
 
Ile show ya jamafest diamond aliitwa kumsalimua Makamu wa raisi. Ule umati wote ulikua unakuja mbio kumsindikiza Nasseb, wale wazee wa gwanda za mabaka walipiga chujio la dk 3 alipita Naseb na tale. Hakuna cha baunsa wala camera man.
 
Hao sio bodyguards ni wapambe. Sehemu nyingi tu wapi wapanbe wa kukodi. Ni kuonyesha thamani yako kuwa juu. Hata harusi nyingi zina wapambe wakiwa wamevaa sare wakiongozana na maharusina sio kwamba wanakuwepo siku na saa zote. Ni kwenye matukio tu.
Wapambe wanakodiwa. Wanaweza kucheza, wakawa kama walinzi, wakawa kama wasaidizi kikazi wakiwa wamekishikia zana za kazi. Baada ya tukio wanalipwa chao wanasepa.
 
s
Niongeze kidogo pia inafanya hata kampuni inakupa dili nono mfano ukiangalia mavazi aliyovaa diamond pamoja na cheni ya dhahabu unaweza ukakuta amevaa si chini ya mil 70 mtu kama huyu akikutana na kampuni moja inafanya kampuni ifikirie kwa makini kama mtu anavaa si chini ya 70 je dau langu linaweza kufiti brand ya huyu msanii? Ndomaana diamond amekuwa akipata dili nono na makampuni mengi utazani hao makampuni hawaoni wasanii wengine.
ijaona tofauti ya Diamond na Mrisho Mpoto, zaidi /diamond anatumia "gambosh-za kiha" na Mpoto anamuamini Yesu
 
Biashara hyo wameanzisha wao tu hapa dunian? Miaka kadhaa hapa bongo tumeshuhudia ujio wa wanamuziki na wafanya biashara wakubwa km vile 50cent, Jayz, Rickrose na hata wale wa kutoka afrika magharibi wakija hapa Tanzania kufanya either shows au shughuli zingne znazoendana na usanii wao, ila hatujawah kuona ulinzi km huo.

Hivi kwa hapa ndan diamond anafanya brand gan tena. Atleast ingekua akienda nje ya nchi lakin kwa ndani hamna anachonishawish zaid ya shiw offs.
Acha uongo umewahi kuona ulinzi wa hao wasanii uliwataja?
 
Biashara hyo wameanzisha wao tu hapa dunian? Miaka kadhaa hapa bongo tumeshuhudia ujio wa wanamuziki na wafanya biashara wakubwa km vile 50cent, Jayz, Rickrose na hata wale wa kutoka afrika magharibi wakija hapa Tanzania kufanya either shows au shughuli zingne znazoendana na usanii wao, ila hatujawah kuona ulinzi km huo.

Hivi kwa hapa ndan diamond anafanya brand gan tena. Atleast ingekua akienda nje ya nchi lakin kwa ndani hamna anachonishawish zaid ya shiw offs.
Team kiba100 mtateseka sana zama hizi
 
Unajua inasikitisha mtu kuwa hujui na kujifanya kuwa ndio wewe unajua sana, hapa namzungumzia kile kinachoendelea kwa Harmonize na Diamomd hawa jamaa wameonekana na walinzi wengi na baadhi ya watanzania wasiojua dunia inazungukaje wanatoa comment 'ushamba' kama wewe mmoja wao nasema wewe hata kufanikiwa kwenye biashara uwenda ikawa ngumu sana.

Hizo showoff na machejo ya hawa watu ndio biashara yenyewe wanaji-brand inawafanya muda wote kuteka attention ya public mbali Kampuni yoyote ile ikitaka kufanya Deal hatuwezi fanya Deal na mtu mzembe wanaangalia biashara ipo wapi

So msanii anayefanya vizuri, anayejua kuteka attention za watu na kutengeneza kiki Deal lazima liwe kwake Voda watakuwa wajinga wakisaini Deal na Kiba, Aslay...ila watakuwa wajanja wakisaini Deal na Diamond au Kondeboy wanaangalia Attention ipo wapi ila sie watanzania tusiojua biashara tupo ushamba ushamba mbona MO na Bakharesa hawafanyi hivyo..You need to differentiate MO ni nani na Diamond ni nani.

Bodyguard ni ulinzi hii dunia imechafuka usione upo kwenye amani una-drink Azam ukwaju ila kwa mtu kama Diamond na Kondeboy pia ni njia ya kuji-value/Branding na ndio maana tunaona Diamond anazidi kufanikiwa na Kondeboy anafata nyayo hizo hizo atakuja kula Deal nyingi tu baadae tusiwe na imani potofu “Kiba anaishi kawaida” huo ni uzembe wake hajui biashara wacha wanaojua biashara wakamate Deal nyingi.
Mbona umetetea sana mzee...
ww ndio chief strategist wa huyo jamaa..
anyway nadhani hayo yatakuwa maoni yako
wacha tumtazame Davido kama ana hizo mambo...
 
Ni ushamba tu wa kiswahili, sijaona wakina Davido/Wizkid wakifanya hivyo na still wanapasua anga zaidi
 
Back
Top Bottom