Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,216
Nakuambia pale ikisikika shaba paa! Imepigwa juu ndio utajua uwiano wa TZ bodyguard na mwanariadha.Mmh! Kumbe sio bulletproof zile?
Ila yatapita tu maana watanzania wanaigana mwisho wa siku watakuwa wanatembea na masai as bodyguard.
Mnakumbuka zamani walinzi walikuwa wamakonde baadae masai wakateka soko basi kama haya yatapita hivyo hivyo
Maana kuna mmoja utamkuta Magomeni, mwingine keshafika Buguruni nk na wote hawajui wamefikaje huko mbali na hali ya hewa ndani ya nguo zao imeharibika.
Hiyo kazi sio sanaa bali ni kujitoa nafsi to protect your package.