walimu wenzangu hivi bado mnaona kunaumuhimu wa lesson plan?

Kwani ww mwenzetu unalipwa sh ngapi? HADI UPATE MUDA WA KUANDAA HUO UJINGA?


Mshahara ni pamoja na lesson plan, kama hutaki si lazima uendelee kufundisha....kama unataka bado unataka kazi ya kufundisha (mwalimu) lesson plan ni lazima!!
 
Suala la ufundishaji ni lazima lifuate utaratibu.Na moja ya utaratibu ni kuandaa azimio na Andalio la somo(Lesson Plan)
Kwahiyo kutumia au kutotumia andalio la somo kutategemea matakwa au umahiri wa mwalimu.Tukumbuke kuwa "Teaching is a sciencé" na pia "Teaching is an art"

point of correction:
'teaching is an art, learning is science'
 
Huwezi fundisha bila lesson plan, ila kuandika lesson plan ni ujinga. Whatever you do, ume plan kwanza!
 
Back
Top Bottom