walimu wenzangu hivi bado mnaona kunaumuhimu wa lesson plan?

damashizo

Member
Jan 20, 2011
61
15
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but ufundishaji wao ni wakawaida. Hivyo swali hapa jee ufundishaji vizuri unategemea kama umeandaa lesson plan ?
 
Duh! Wewe mwalimu kweli? Inamaana hujui umuhimu wa lesson plan kweli? Hao wanafundisha vibaya na wana lesson plan sio walimu wamevamia kazi (hawana uwezo kitaaluma na maandalizi mabaya). Wasioitumia na wanafundisha vizuri wanatumia experience&wako competent.
 
Inategemea mshahara na idadi ya madarasa unayo fundisha.kama mshahara mzuri na madarasa machache kunaumuhimu mkubwa sana wa lesson plan.kama mshahara wa kichina ufundishaji wa kichina ili kutengeneza wachina weeeengiii
 
Aaa makubwa tena cyo madogo kama hujui umuhimu wa lesson plann ukiulizwa na mwanafunzi utamwambia halina umuhimu mwalimu legelege huzalisha wanafunz legelege
acha uzembe piga kazi kazi ya mazoea acha
 
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but ufundishaji wao ni wakawaida. Hivyo swali hapa jee ufundishaji vizuri unategemea kama umeandaa lesson plan ?

mm kwa mtazamo wangu sion uhusiano wa lesson plan na ufundishaj mzuri;kwan unaweza kukosa lesson plan na ukafundisha vzr na pia waweza kuwa na lesson plan na ukafundsha svyo.huo ni mtazamo tu wadau wa elimu.
 
mm naona hoja yake iko sawa! amesema kuwa anafanya utafiti... ss shida iko wapi? Naona tumpe ushirikiano!! mnajua tunajua kuwa lesson plan inasaidia, lakini kumbe mmmmHHH.... angalie shule na waalimu ambao hawatumiii lesson plans halafu unagalie na parefomance za wanafunzi wao..... then tuconcude sio tu kumlaumu kuwa amevamia fani... haya tunayosema kuwa ni muhimu ndivyo tulivyofundishwa shuleni lakini jee ni kweli? we need to excavate the true reality
 
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but ufundishaji wao ni wakawaida. Hivyo swali hapa jee ufundishaji vizuri unategemea kama umeandaa lesson plan ?

Bila shaka lesson plan ni ya muhimu sana kama unataka kutimiza malengo fulani, na mwisho kujitathmini kama umefanya vizuri au la. Mwalimu yeyote mzuri ana lesson plan. Inaweza kuwa imeandikwa au iko kichwani lakini lazima ipo! Iliyoandikwa ni ushahidi wa kinyaraka kwamba mchakato huu umefanyika. Yeyote anayehitaji kuthibitisha kama ni mkuu wa idara, mkuu wa shule au mkaguzi anaweza kujiridhisha juu ya uweledi wa mwalimu.
Je unaweza kufikiri nini juu ya rubani anayeingia kwenye ndege bila flight plan? Au surgeon anayeingia theater bila surgery plan n.k.?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but ufundishaji wao ni wakawaida. Hivyo swali hapa jee ufundishaji vizuri unategemea kama umeandaa lesson plan ?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Lesson plan ni muhimu sana! Lesson plan ya kweli ni ile inayokaa kischwani; ile inayoweza kubadilika kulingana na mazingira ya darasa.
Ila kwa wingi wa madarasa na vipindi, L P iliyoandikwa bila kukaa kichwani ni changamoto kubwa.
 
Suala la ufundishaji ni lazima lifuate utaratibu.Na moja ya utaratibu ni kuandaa azimio na Andalio la somo(Lesson Plan)
Kwahiyo kutumia au kutotumia andalio la somo kutategemea matakwa au umahiri wa mwalimu.Tukumbuke kuwa "Teaching is a sciencé" na pia "Teaching is an art"
 
hello! uko right ila njemba hawajakuelewa mantiki yako.tusifanye kazi kwa kuwaridhisha wakubwa bali tuangalie ufanisi.
 
Back
Top Bottom