Walimu wawili kutoka kenya wanahitajika haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wawili kutoka kenya wanahitajika haraka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kinye, Jul 9, 2012.

 1. k

  kinye Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanahitajika walimu wawili kutoka kenya wenye diploma au uwezo wa kufundisha olevelm.
  Mshahara mzuri.
  Piga number 0713-810857
  Email:imamu.njama@yahoo.com
   
 2. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Je mimi Mtanzania niliyeko huku Kenya..naruhusiwa kuapply au unataka raia wa Kenya.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakenya wana nini cha ziada?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Yaani wenyewe kwa wenyewe tunabaguana?
  Unafikiri wakenya wakiwa wanaajiri watasema wanahitaji Mtanzania tu??
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,823
  Likes Received: 2,587
  Trophy Points: 280
  Olevelm ? Meaning.
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  yan hata kama nawajua siwezi kuwaambia ng'oo, badala yakutoa fursa kwa wenzenu mnawaza waso wenzenu, kama lugha wapo wanaofaham vema, kama shda kiswail chao then wapo waigzaj wazur tu..HERI NIAMBIWE MBAGUZI BT SIWAMBII NG'OO mana kuna wengne wapo mtaan kwe2.
   
 7. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuweni wazalendo, wakenya wananini hasa! Binafsi nimefundishwa na malecturer wakenya hakuna tofauti na wakwetu. Mbona watanzania wenye diploma ya ualimu ni wengi sana hapa!
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kwa nini wasiwe wa Tanzania? we Njama. Imamu vip?
   
 9. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani kakwambia anataka vyeti vyako. Yeye kasema anataka wakenya. Huwezi jua yawezekana anataka watu walio more practical kwa hilo nitamtetea.

  Sisi tuna tabia moja chafu sana, tunaabudu mivyeti na ndio maana hata hapa jamvini si nadra kusikia mtu akiuliza mshahara wa graduate ni sh ngapi. Hatuulizi mshahara wa uwajibikaji fulani ni sh ngapi.

  Pale wizara ya maliasili kuna PhD kama njugu lkn utalii wa ndani ni almost sifuri. Wanapanda mashangingi kwenda na kurudi nyumbani bila ubunifu wa kazi. Hatuna ubunifu kichwani, tuna vyeti tu. Tusiteteane ujinga. Kila mwenye firm yake ameianzisha kwa lengo la kupata faida na sio kuajiri watu wa kwao
   
 10. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tanzania walimu wamekosekana?
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acha kumtukana mwenzako kwa uvivu wa kusoma AMEANDIKA KWAMB ANATAKA DIPLOMA
   
 12. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yapata miaka mitatu sasa hata huja receiv like hata moja>???
  haya baadae utawahitaji walimu kutoka sumbawanga
   
 13. Mayunga6

  Mayunga6 Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nifafanulie kidogo,sijaelewa,kutoka kenya=raia wa kenya au yeyote aliyesomea kenya au?
  Post imekaa kibaguzi sana.
   
 14. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa nini wakenya? kwan hakuna watanzania wanaoweza kufundisha hiyo kitu!
  au unataka uweke ada kubwa baada ya matangazo kua waalim ni kimataifa kumbe wanawaspoil tu watoto wetu instead ya kuwapa taaluma na kuwafundisha kujitambua.
   
Loading...