Walimu watoboa siri mahusiano mwenzao, RPC Barlow

magazeti mengine ni udaku tu hakuna cha maana yaani kama waandishi wetu wanalipoti pumba kama hizi ni janga kwa taifa na jamii kwa ujumla
 
Kikao cha harusi Saa 7 - 8 usiku Mh haya bana, RPC yupo peke yake mlinzi kamuacha, halafu Mwl Doroth anampigia simu Mlinzi wake kuhusu tukio kaazi kwelikweli.
 
Hivi uyu kamanda ndio muasisi wa hili jina maarufu la vijana sharobaro? Au alilipwa kampuni ya tigo kwenye lile tangazo lao huyu ni baro na yule ni sharo WOTE WANAMPENDA MWANAMKE MMOJA, visasi mpaka wameuana
 
Nimekua nauliza hili swali kila mara bila kupata majibu 'Huyo Mwalimu Doroth ni mrembo sana?'
 
Noted...Aaaahhh kumbe ni mjane.... asanteni....siulizi kitu tena...sare sare maua ....
 
Back
Top Bottom