Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Mbona wanachelewa kutoa posts?

kwa nini aise?
POST mwezi wa kumi tarehe 27
Hizi ni porojo serikali haiwezi kufilisika hata robo ya kwanza ya mwaka wa fedha haijaisha. Supplimentary zenu chuoni ndio tatizo na wengi wetu hatujui kwamba ajira ni process inayoanza kwa wewe kufanya mtihani wa mwisho yaani kwa wale wa Cheti, Diploma na Chuo Kikuu, matokeo yakitoka kuna kusort out waliofaulu na waliofeli then kupangiwa vituo kulingana na mapendekezo ya Tamisemi kazi inayfanywa na Wizara ya Elimu, then Tamisemi wana approve kama imezingatia mapendekezo yao, kisha inapelekwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa ajili ya kuwianisha na mishahara kisha inapelekwa Hazina baada ya hapo Wizara ya Elimu inatangaza. Sasa fikiria Bunge ndio kwanza limemalizika mwishoni mwa August na matokeo ya Certicate na diploma yametoka juzi tu na baadhi ya Vyuo Vikuu hata Supplimentary hazijafanyika. Hiyo ndio halisi ni vizuri tukawa realistic kwenye baadhi ya mambo badala ya kukurupuka wakati hatuna majibu ya uhakika kwa mtoa hojaserikali imefilisika.
bora umefafanua naona vijana wana moto sana lakini wakishapangwa wanachukua pesa na kukimbia alafu tunapiga kelele ufisadi wakati ufisadi unaanzia kwa mtu mmojammojaHizi ni porojo serikali haiwezi kufilisika hata robo ya kwanza ya mwaka wa fedha haijaisha. Supplimentary zenu chuoni ndio tatizo na wengi wetu hatujui kwamba ajira ni process inayoanza kwa wewe kufanya mtihani wa mwisho yaani kwa wale wa Cheti, Diploma na Chuo Kikuu, matokeo yakitoka kuna kusort out waliofaulu na waliofeli then kupangiwa vituo kulingana na mapendekezo ya Tamisemi kazi inayfanywa na Wizara ya Elimu, then Tamisemi wana approve kama imezingatia mapendekezo yao, kisha inapelekwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa ajili ya kuwianisha na mishahara kisha inapelekwa Hazina baada ya hapo Wizara ya Elimu inatangaza. Sasa fikiria Bunge ndio kwanza limemalizika mwishoni mwa August na matokeo ya Certicate na diploma yametoka juzi tu na baadhi ya Vyuo Vikuu hata Supplimentary hazijafanyika. Hiyo ndio halisi ni vizuri tukawa realistic kwenye baadhi ya mambo badala ya kukurupuka wakati hatuna majibu ya uhakika kwa mtoa hoja
Wanakera sana hawa vijana, wanapiga hesabu za mafanikio ya haraka haraka sawa na wazee walioanza kazi miaka ya 80 huko bila kujua kuwa kila kitu kinaenda taratibu. Wanachojua wao ukimaliza Shule ni kuanza kazi na kupata mshahara siku hiyo na kisha kutoroka kurudi mjini au kutafuta part time za kufundishabora umefafanua naona vijana wana moto sana lakini wakishapangwa wanachukua pesa na kukimbia alafu tunapiga kelele ufisadi wakati ufisadi unaanzia kwa mtu mmojammoja

2liza nchecheto shehe, msahara wenyewe wa urojo unakimbilia tafuta kaz private mwanangu ule mambo.

Wataajiriwa waliofaulu mitihani yao na mpaka bajeti ikamilike ambapo ni pamoja na kufanya upembuzi yakinifu wa maeneo magumu kwaajili ya (hardship allowance)

lini sasa huo upembuzi utaisha mkubwa.

lini sasa huo upembuzi utaisha mkubwa.

vuta tu subira kwani ni mchakato mpana kidogo.

ndo matatizo ya kusoma course zinazotegemea kuajiriwa ndo utoke,ungepiga zako ufundi seremala hayo yote yangetoka wapi,