Huku wilaya moja ya mbuge Baduweli-Dodoma, wamepewa hela yao jana. So msikalili eti haitotokea. Kuna wengine huku hawakuamin na kubeza eti hadi nauli hatutapewa. Nauli tumepewa na mshahara wa mwezi wa 4 tumepata. Shahidi mimi mwenyewe. Wilaya ya BAHI
DEO katuambia, pia Katibu wa TSD kasema kwani Fedha zote zimetumwa kwa kila Halmashauri.