Walimu wapya wa wilaya ya kinondoni mmeonyesha Mfano! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wapya wa wilaya ya kinondoni mmeonyesha Mfano!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ZeTicha, Feb 10, 2012.

 1. Z

  ZeTicha Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dharau aliyoonyesha afisa elmu, almanusura imtokee puani, baada ya kutaka kuwalipa walimu hela ya siku3 kujikimu,baada ya siku7. Walimu wote walgoma kuichukua.....
  "msimamo na umoja ndo nguzo kuu" big up walimu wa kinondon.
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hongereni sana wakuu,
   
 3. k

  kamata Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado kidogo tukaze moyo tuamue kumuadabisha kwanza Spika wa Bunge Anna Semakinda, halafu mdanganyifu Mtoto wa mkulima, Pinda aliyepinda, halafu mwisho tuligeuze bakuli lote tumteme Jakaya, tuone kina Ridhiwani watakula jeuri yao:photo::alien:
   
Loading...