Walimu wapya 28,638 sasa kupelekwa vijijini

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,166
1,700
Serikali imetangaza mpya wa ajira za walimu 28,638 wa Shule za Msingi na Sekondari katika mikoa minane.
"wote tutawaajiri ,lakini safari hii hakuna ajira za mijini na wote watakao ajiriwa warapelekwa katika wilaya zenye changamoto kwa hiyo mtakwenda mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa, Mbeya, Shinyanga, Manyara, Mtwara na Lindi"
Ajira hizo zitaanza Januari Mwakani.
 
Mkuu vipi Tabora hatupati kitu?Au kwetu sio mkoa wa pembezoni? Hivi ccm tumewakosea nini wanyamwezi lakini jamani?
 
2napelekwa mikoa na maeneo yenye changamoto jee! Alowance za hard condition haziwekwi? Pia teaching alowance vipi? Walimu 2amke serikali imetusahau TSD Wanashindwa kama hakuna wana harakati binafsi wapeleke kilio chetu kwa JK.
 
Mkuu vipi Tabora hatupati kitu?Au kwetu sio mkoa wa pembezoni? Hivi ccm tumewakosea nini wanyamwezi lakini jamani?

Mkuu Tabora kuna walimu wa kutosha kwa ajira zijazo kipaumbele ni kwa mikoa tajwa tu!
 
Mwananchi na Nipashe, na yalisemwa na Naibu Waziri wa Elimu Mulugo kwenye mahafali MUCE Iringa

Nokla Mulugo si chanzo cha kukiamini kwa sasa,
je walim wengine wakiajiriwa mjini?na isitoshe hata mijini nako kuna tatizo la walimu
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu kama naibu Waziri mwenye dhamana ya Elimu sio chanzo cha kuaminika nani atakua chanzo cha kuaminika? Na kwanini aongee maneno hayo kwa kumridhisha nani?
 
chezea mr zimbabwe wewe.. Usishangae akisema it was just a slip of tongue
 
Back
Top Bottom