Walimu wanaofanya semina ya sayansi na hesebu wachakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wanaofanya semina ya sayansi na hesebu wachakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinya, Jun 28, 2012.

 1. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Walimu wa masomo ya sayansi na hesabu(mathematics) wanaofanya semina ya siku kumi 10 katika vituo vya azania na city high school(benjamin mkapa) wanaelekea kususia semina hiyo kwa kile walichokielezea kuchakachuliwa POSHO zao,kwa mujibu wa mmoja wao wanalipwa 15 elfu/day pamoja na msosi usiokidhi viwango kitu kilichopelekea kuanza kuhoji je ni standing order gani inayo elekeza mwl alipwe 15 t/day?
  Hakika kama hata hawa wameiva baasi hii IMEVA ...
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  walialikwa na nani kama GTZ hiyo posho ipo juu manake huwa wanalipa 5000 kwa siku.
   
 3. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi hamna huruma?? hata walimu mnachakachua viposho vyao?? EE MUNGU shuka utuokoe na janga hili rushwa.
   
 4. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ngoshwe Acha uongo posho ya 5,000 labda wahudumu wa ofsi siyo walimu maana wao ni maafisa kuanzia TGTS D.
   
 5. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,822
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280
  Semina kama hiyo ilipangwa kufanyika Morogoro mwezi wa tatu mwishoni na walimu waliambiwa watlipwa elfu tano wakagoma Afisa elimu wa mkoa akasema atawachukulia hatua za kinidhamu ikiwapo kutopewa nafasi za kwenda kusimamia wala kusahihisha mitihani yoyote ile.
   
Loading...