financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,128
- 40,688
Ndiyo amenisema sana kuhusu chura huyu😒ulishaambiwa kuw huna chu....?

Kwani kwenye hiyo barua ya wito wameandika sababu ya huyo mzazi kuitwa?Ukifika huko shuke uwaambie hao walimu wakome kabisa kumuhusisha mtoto wako na uasi
Mzazi,Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake.
Sasa pale shuleni kwao yeye yupo na wenzake wachache sana wenye utaratibu kama wake, yeye na wenzake wasiopanda schoolbus ama kufatwa na usafiri binafsi wakitoka shule huwa wanacheza mpira kiwanja cha shule fulani ya karibu na wenzao wa shule nyingine, watapiga piga stori njiani na michezo michezo mingine maana naona saizi anapenda kuruka sarakasi itakuwa labda alifundishwa huko huko.
Sasa naona huenda wenzake walikuwa hawapendi hii kitu, baadhi wakaanza kuwaambia wazazi wao kwamba wanaweza kwenda na kurudi kutoka shule bila school bus au usafiri binafsi kwa hiyo nao waanze kurudi nyumbani kivyao
Sasa baada ya hii ishu kwenda sana ndio baadhi ya wazazi wakafika shuleni na baada ya kuchuimbua chimbua ndio wakafikia hatua kudai mwanangu na marafiki zake wachache wanaoendaga nyumbani bila msaada ndio wanawatia sumu watoto wao.
Mwanangu nimeongea nae, yeye kasema hajashawishi yeyote kuacha kupanda schoolbus,
Sasa hapa binafsi kama mzazi naona mwanangu hana kosa na inabidi watengue hii kauli, nimepewa barua nifike Ijumaa
Aiseeee,upele umempata mkunajiNiuzie Mimi hiyo kesi tufanye huyo ni mwanangu
Sasa pale shuleni kwao yeye yupo na
Sasa naona huenda wenzake walikuwa
Sasa...Sasa baada ya hii ishu kwenda sana ndio
Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake.
Sasa pale shuleni kwao yeye yupo na wenzake wachache sana wenye utaratibu kama wake, yeye na wenzake wasiopanda schoolbus ama kufatwa na usafiri binafsi wakitoka shule huwa wanacheza mpira kiwanja cha shule fulani ya karibu na wenzao wa shule nyingine, watapiga piga stori njiani na michezo michezo mingine maana naona saizi anapenda kuruka sarakasi itakuwa labda alifundishwa huko huko.
Sasa naona huenda wenzake walikuwa hawapendi hii kitu, baadhi wakaanza kuwaambia wazazi wao kwamba wanaweza kwenda na kurudi kutoka shule bila school bus au usafiri binafsi kwa hiyo nao waanze kurudi nyumbani kivyao
Sasa baada ya hii ishu kwenda sana ndio baadhi ya wazazi wakafika shuleni na baada ya kuchuimbua chimbua ndio wakafikia hatua kudai mwanangu na marafiki zake wachache wanaoendaga nyumbani bila msaada ndio wanawatia sumu watoto wao.
Mwanangu nimeongea nae, yeye kasema hajashawishi yeyote kuacha kupanda schoolbus,
Sasa hapa binafsi kama mzazi naona mwanangu hana kosa na inabidi watengue hii kauli, nimepewa barua nifike Ijumaa
Aisee hii shule wana Changamoto ya kudeal na watoto. Au wanaendekeza tabia ya deko kwa wazazi.Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake.
Sasa pale shuleni kwao yeye yupo na wenzake wachache sana wenye utaratibu kama wake, yeye na wenzake wasiopanda schoolbus ama kufatwa na usafiri binafsi wakitoka shule huwa wanacheza mpira kiwanja cha shule fulani ya karibu na wenzao wa shule nyingine, watapiga piga stori njiani na michezo michezo mingine maana naona saizi anapenda kuruka sarakasi itakuwa labda alifundishwa huko huko.
Sasa naona huenda wenzake walikuwa hawapendi hii kitu, baadhi wakaanza kuwaambia wazazi wao kwamba wanaweza kwenda na kurudi kutoka shule bila school bus au usafiri binafsi kwa hiyo nao waanze kurudi nyumbani kivyao
Sasa baada ya hii ishu kwenda sana ndio baadhi ya wazazi wakafika shuleni na baada ya kuchuimbua chimbua ndio wakafikia hatua kudai mwanangu na marafiki zake wachache wanaoendaga nyumbani bila msaada ndio wanawatia sumu watoto wao.
Mwanangu nimeongea nae, yeye kasema hajashawishi yeyote kuacha kupanda schoolbus,
Sasa hapa binafsi kama mzazi naona mwanangu hana kosa na inabidi watengue hii kauli, nimepewa barua nifike Ijumaa
Tabia ya kupenda nanii wangu........ tena hadharani sipendagi kabisaaa unasikia??? na ukome kumsifia sifia unasikia hayaaa wewee!!! kwani hamjui au mnafanya maksudi??Rafiki this is why i love you so much!😁😁😁
Baelezee!! Baele zeee Mama!! mpaka wayambe kifukuto!!Sijazoea mimi! Sitaki love yako😂
We Muongo!! au hujui!! sikia weye Mzee wa kula ki masihara!! dogo amewashawishi kisiasa, kisaikolojia,kisayansi ana nature ya convincing power!Huyo dogo hajawashawishi wenzake ilaa wenzake wanataka nao wawe wanaenjoy kucheza maana kila siku wanaadithiwa Utamuu yaniii... shule ilazimisheeee schoolbus
Nishaelewa🤓Sawa mueleweshaji sasa mbona hujaplay role yako?, kwa kusema hivo unahisi utakua umenisaidia kuelewa?
mkuu umetumia divai?Wapumbavu wengine ni hao walimu waliokuandikia barua.