Walimu waliojiendeleza wanadhalilishwa na serikali hii dhalimu,,"",amkeni""

JALUO

Senior Member
Jun 4, 2011
168
45

NDUGU ZANGU WALIMU MLIOJIENDELEZA,,hivi hili linaloendelea mnaliona ni sahihi?upo waraka KANDAMIZI wa 2009 unaoondoa HARI NA MAANA halisi ya MWALIMU kujiendeleza.

waraka huu unamzuia MWALIMU aliyejiendeleza kupanda daraja zaidi ya "D."inaumiza sana kuona mwalimu alie daraja E BAADA YA KUJIENDELEZA ANARUDISHWA DARAJA D,na kama anataka aendelee kubaki na daraja lake basi mwajiri amuombee mshahara BINAFSI,what"s this to teachers?mbona katika kada zingine hawafanyiwi haya?Nawapongeza MBEYA wamepinga upuuzi huu,TANZANIA nzima walimu tumeshindwa kuwasapoti walimu wahitimu from MBEYA,,nadhani hii ni motisha hasi kwa walimu,,WALIMU TUAMKENI TUDAI HAKI ZETU,,TUINGIE BARABARANI ILI TUPATE KUJIVUNIA ELIMU ZETU NA MCHANGO WETU KWA TAIFA....MIMI SIKO TAYARI NITASIMAMA COZ NIMEFATILIA NIKAAMBIWA CWT WAMEUPINGA WARAKA HUU NA THIS OKTOBER WATATOA TAMKO,,WAKISAHINDWA TUJIUNGE TUDAI KULIPWA KULINGANA NA ELIMU ZETU COZ HIZO NI SIASA,,,,MBONA WARAKA WA 2002 HAWAJAUFUTA ILI KUALALILISHA HUU WARAKA WA KIKOLONI WA 2009?JAMANI INAUMA SINA NAMNA NZURI YA KUELEZA BUT NDANI YA SIKU 3 NITAAMBATANISHA COPY YA HUO WARAKA...WALIMU MNASEMAJE?
 

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,927
2,030
Pole sana, ila ungepeleka kule kwenye jukwaa la Elimu ungekuwa umewasaidia sana Mods> Hata hivyo suala lako/lenu halihitaji jazba clam down, toa mapendekezo kisha subiri reaction then chukua hatua
 

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,689
474
mimi nawashauri kilichobaki na nyinyi pigeni siasa darasani ili 2015 hawa majamaa waondoke madarakani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom