walimu walioajiriwa halmashauri ya bagamoyo mwezi mei hawajapata mishahara yao mpaka sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

walimu walioajiriwa halmashauri ya bagamoyo mwezi mei hawajapata mishahara yao mpaka sasa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kine, Aug 3, 2011.

 1. kine

  kine Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani naomba kufahamu halmashauri zingine vipi huko au ndio serikali imefulia mbaya.kama serikali haina pesa kwa nn inaajiri?
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,764
  Trophy Points: 280
  Dili zilivyonje nje unatutia aibu bwana kuna mfanyakazi wa halmashauri anaetegemea mshahara wacha waka nayo we wekeza fanya kama umewekka crdb jamaa wakikaa sawa wabangue kikweliii ndivyo wanavyoishi akikisha akuna ushahdi kama wa muro/j
   
 3. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  wawe na subira tu, watapewa kipindi cha kusimamia upigaji kura.
   
Loading...