prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 78
Kasi ya muheshimiwa Magufuli ni nzuri ila bado kuna baadhi ya viongozi wanashindwa kuicopy badala yake wanaendeshwa na woga na ubabe wa kukurupuka kwa baadhi ya maamuzi..
Hofu yangu kubwa ni kwa hawa viongozi wangu wa kielimu msije mkatumia mwanya huu kunyanyasa waalimu kwa kigezo HAPA KAZI na niseme pia kama kazi ianze kwenu pia.
Acheni kupiga pesa za kazi maalumu, pesa za posho kwa waalimu wapya..