Walimu wa sumbawanga

Area 254

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
324
64
...hii ni nukuu kutoka kwa mbunge wenu.(SIMKUMBUKI JINA-MAMA)
"HATA MUNGU AMESEMA KATIKA BIBLIA,UMASKINI HAUTAKWISHA"

NINI TAFSIRI YAKE KWA MAONI YAKO?
 
Suala la uchaguzi ni jambo nyeti sana linalohitaji umakini mkubwa unapotaka mtu kuwa kiongozi wako.Unapoweka ushabiki wa kisiasa au ukaendekeza njaa matokeo yake ni kupata viongozi wa jamii hiyo wasiojitambua.Wana wa Sumbawanga wakati umefika wa kubadilika na kuwaweka viongozi ambao wanaupeo wa mbali.Elimu ni jambo la msingi ambalo kwa karne ya sasa halikwepeki.Siku nyingine usitoe nukuu za namna hiyo kwani zinawazalilisha wapenda mabadiliko ya kweli ndani ya Sumbawanga.
 
Suala la uchaguzi ni jambo
nyeti sana linalohitaji umakini mkubwa unapotaka mtu kuwa kiongozi
wako.Unapoweka ushabiki wa kisiasa au ukaendekeza njaa matokeo yake ni
kupata viongozi wa jamii hiyo wasiojitambua.Wana wa Sumbawanga wakati
umefika wa kubadilika na kuwaweka viongozi ambao wanaupeo wa mbali.Elimu
ni jambo la msingi ambalo kwa karne ya sasa halikwepeki.Siku nyingine
usitoe nukuu za namna hiyo kwani zinawazalilisha wapenda mabadiliko ya
kweli ndani ya Sumbawanga.

ni kweli mkuu,kuna wapenda mabadiliko miongoni mwa wana-swax,next tym,sio kwao tu,hata wengne waliokosea kufanya maamuzi sahihi inawabidi wabadilike ili tuepuke fedheha hz.
 
Back
Top Bottom