Walimu wa shule za kata jiandaeni kuwafanya wataalamu wa kuchagua Hesabu wataalamu wa kukokotoa.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wa shule za kata jiandaeni kuwafanya wataalamu wa kuchagua Hesabu wataalamu wa kukokotoa.!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mdau Makini, Sep 20, 2012.

 1. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Teknolojia sasa imefanya Elimu ya Tanzania kuwa kama Michezo ya Juma na Uledi.sasa Hawa wanafunzi ambao ni wataalamu wakuchagua Hesabu, huyu mwalimu wangu wa shule hizi za kwetu ambazo ukipeleka Ada(karo) unarudishiwa na change atawezaje kuwafanya hawa wanafunzi wataalam wa kukokotoa Hesabu??,hapo shuleni kitabu chenye kimoja, na mwalimu mwenyee wa Temporally(ametoka Form Six) eti ili tupate urahisi wa kusahisha...Inawezekana Hesabu za siku hizi zipo straight to answer??..Naomba mnieleweshe jamani zile shule za kata itakuwaje wadau(waheshimiwa)????
   
Loading...