Kwanini Walimu wa ahule za mitaala ya Kiingereza wanataka Wanafunzi wawaite kwa majina yao ya kwanza?

U don't seem to understand madam. What am trying to say here is that teachers should be addressed by their surnames and not their first names. Hayo ndo maadili yetu watanzania.

Mwalimu shuleni anasimama badala ya mzazi. U don't address Ur parent by his/ her first name.

In addition to that a school is a formal institution. Every thing should be conducted formally. Addressing teachers by their first names sound so informal.

Ni sawa na Makonda kum address Pres Magufuli as President John.
Sound well and has been our culture!
Kuna wanaoupractice uzungu hupenda tumia jina la mwanzo.
Mwalimu Nyerere pia alikuwa akipenda kuita viongozi wenzie kwa majina ya kwanza...ila kwa mtoto kumuita mkubwa kwa jina la kwanza kidogo haileti utanzania isipokuwa kwa watu wazima wao kwa wao haina shida, Mimi pia muumini wa kuita jina la mwanzo kwa age mates wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna majina mengi ya ukoo ni magumu kutamka unaweza kujikuta unakosea kutamka vizuri.. vilevile naona ipo shida kwa mana unaweza kuta jina lako la ukoo kwa kabila lingine ni tusi. Sasa huenda walimu wanatumia majina yao ya mwanzo kuleta urahisi kwa watoto kutamka.
Kama Mimi nikiandika jina langu ka ukoo hapa mod lazima waniweke mahabusu (ban). Hivyo bora wakaendelea kuniita kisikiji tu.
 
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Hivi hili LA SAA name lipo kimaadili?.. Ila kweli bro if call me kwa first name yangu hua nakua shocked... Ila ukiniita kwa Sir name nasikia atmosphere ya kuwajibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ana point, kimaadili si heshima mtoto kumtaja mtu mzima/mzazi kwa jina la kwanza. Na hata watu wazima wakiwa mbele ya hadhira huitana kwa jina la ukoo.
Unapomtaja mtu mzima mbele za watu unapaswa umtaje kwa jina la ukoo. Wasio tambua hili wengi wao ni hiki kizazi cha leo kisicho na maadili.

Kuna baadhi ya watu hawajui hata jina la ukoo, hudhani jina la ukoo ni lile la babu. Mfano ni baadhi ya wachangiaji wa hii mada hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hawajui basi.
 
Mkuu kuna majina mengi ya ukoo ni magumu kutamka unaweza kujikuta unakosea kutamka vizuri.. vilevile naona ipo shida kwa mana unaweza kuta jina lako la ukoo kwa kabila lingine ni tusi. Sasa huenda walimu wanatumia majina yao ya mwanzo kuleta urahisi kwa watoto kutamka.
Mfano jina.gani kaka?
 
Sijaona tatizo hapo. Tatizo watz wengi ni masengerema yanaishi maisha ya kukariri. Hii tabia ya kupangiana majina ni dalili ya ushoga. Naweza kujiita jina lolote ninalotaka. Mbona ww mtoa uzi haujatumia jina lako humi jf badala ya umetumia Id fake. Mambo ya UKUMA (UMOJA WA KUMPONGEZA MAGU). Huwa siyapend
Live your life a son of a gun
Jipigie makofi kwa comment yako maridhawa
 
U don't seem to understand madam. What am trying to say here is that teachers should be addressed by their surnames and not their first names. Hayo ndo maadili yetu watanzania.

Mwalimu shuleni anasimama badala ya mzazi. U don't address Ur parent by his/ her first name.

In addition to that a school is a formal institution. Every thing should be conducted formally. Addressing teachers by their first names sound so informal.

Ni sawa na Makonda kum address Pres Magufuli as President John.

Hii makitu mkuu itakuumiza kichwa bure tu...hayo yalishabadilika sehemu nyingi tu. Hata huku niliko watu wanajitambulisha kwa majina yao ya kwanza.

Tena the other day mtu akatoa hoja kabisa (na ni mtu mzimaaa) kuwa jina lake ni JOHN huyo MASSAWE ni babu yake na yeye wala hamfahamu..sasa iweje ajitambulishe kwa jina la babu ambaye yeye hamjui ilhali jina linalomtambulisha yeye ni JOHN?

Ukawa mwisho wa argument yangu...nami nimeona POA TU...let's not make it a big deal, times have changed.
 
Wewe ni pumbavuh sana.unapata wapi muda wa kufuatilia maisha ya wanaume wenzio? Na wewe si jiite madam likwid iwe ngoma draw. Wewe badala ta kupambana n misha yako unahangika na ya wenzako.mademu wa uswahilin mna shida sana.
 
K
 
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Inakuhusu nini. Acha kuingilia mambo yasiyo kuhusu. Utakuwa na matatizo ya kufikiri si bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom