Kwanini Walimu wa ahule za mitaala ya Kiingereza wanataka Wanafunzi wawaite kwa majina yao ya kwanza?

Inafikirisha sana....
Thomas Kamugisa angekuwa na doctorate degree...sidhani kama angependa aitwe Dr Tom...(nimewaza tu)
Unamaanisha ni utumwa fulani wa kifikra? Kwamba ukifika level ya PhD unaondoka? Au unaufananisha na maprofesa wengi wa kike wanaonyoa afro huku mawigi wakiwaachia wale wa level ya chini?

Yoteyote wapo ma PhD holder wanaopenda kutumia majina ya kwanza ingawa siyo wengi.
Maprofesa wanawake wanaovaa mawigi ( nywele za bandia).

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Kuitwa teacher Thomas au teacher Fred pia sio Kiingereza sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha ni utumwa fulani wa kifikra? Kwamba ukifika level ya PhD unaondoka? Au unaufananisha na maprofesa wengi wa kike wanaonyoa afro huku mawigi wakiwaachia wale wa level ya chini?

Yoteyote wapo ma PhD holder wanaopenda kutumia majina ya kwanza ingawa siyo wengi.
Maprofesa wanawake wanaovaa mawigi ( nywele za bandia).

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nitarudi.....
 
Kwani jina lako ni lipi? Kwa nn unataka kuitwa jina la ukoo wakati la Kwako ni Fredy.
Wewe jamaa Acha kukariri maisha.

Tofa
 
Wewe kama ni Athumani basi uitwe hivyo na wala usitake tujue jila la Baba yako. Hilo halisaidiii chochote.

Tofa
 
Mleta mada ana point, kimaadili si heshima mtoto kumtaja mtu mzima/mzazi kwa jina la kwanza. Na hata watu wazima wakiwa mbele ya hadhira huitana kwa jina la ukoo.
Unapomtaja mtu mzima mbele za watu unapaswa umtaje kwa jina la ukoo. Wasio tambua hili wengi wao ni hiki kizazi cha leo kisicho na maadili.

Kuna baadhi ya watu hawajui hata jina la ukoo, hudhani jina la ukoo ni lile la babu. Mfano ni baadhi ya wachangiaji wa hii mada hapo juu.

Mkuu kuna majina mengi ya ukoo ni magumu kutamka unaweza kujikuta unakosea kutamka vizuri.. vilevile naona ipo shida kwa mana unaweza kuta jina lako la ukoo kwa kabila lingine ni tusi. Sasa huenda walimu wanatumia majina yao ya mwanzo kuleta urahisi kwa watoto kutamka.
 
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.

Sawa Teacher Likudi wamekusikia.
 
Sijaona tatizo hapo. Tatizo watz wengi ni masengerema yanaishi maisha ya kukariri. Hii tabia ya kupangiana majina ni dalili ya ushoga. Naweza kujiita jina lolote ninalotaka. Mbona ww mtoa uzi haujatumia jina lako humi jf badala ya umetumia Id fake. Mambo ya UKUMA (UMOJA WA KUMPONGEZA MAGU). Huwa siyapend
Live your life a son of a gun
 
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Nina Mwalimu wangu wa O-level alikuwa anaitwa JOSHUA JOHN hapo vipi tunge muitaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U don't seem to understand madam. What am trying to say here is that teachers should be addressed by their surnames and not their first names. Hayo ndo maadili yetu watanzania.

Mwalimu shuleni anasimama badala ya mzazi. U don't address Ur parent by his/ her first name.

In addition to that a school is a formal institution. Every thing should be conducted formally. Addressing teachers by their first names sound so informal.

Ni sawa na Makonda kum address Pres Magufuli as President John.
Sound well and has been our culture!
Kuna wanaoupractice uzungu hupenda tumia jina la mwanzo.
Mwalimu Nyerere pia alikuwa akipenda kuita viongozi wenzie kwa majina ya kwanza...ila kwa mtoto kumuita mkubwa kwa jina la kwanza kidogo haileti utanzania isipokuwa kwa watu wazima wao kwa wao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom