Kwanini Walimu wa ahule za mitaala ya Kiingereza wanataka Wanafunzi wawaite kwa majina yao ya kwanza?

1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.


Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.


Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
We utakuwa shoga sio kwa uandishi huo inakuuma nini kujiita majina yao ya kwanza? Sheria ya wapi inasema lazima watumie surname, umasikini wako wakupeleka vipanya vyako kayumba mapovu unaleta kwa walimu wetu fyuuuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom