Walimu wa sekondari wahamishiwa kufundisha msingi Masasi mkoani Mtwara

Acha Kufananisha Tz na ulaya, vijana wengi wapo mtaani wanasubiri ajira kwanini wasiajiriwe? huko sekondari nako yapata miaka mitatu walimu hawajaajiriwa wakat huohuo wapo waliofukuzwa kwa vyeti feki, wapo waliostaafu na kufariki. Serikali iseme tu kuwa vyuma vimekaza, sarakasi za awamu hii ni za kitoto sana. Come Back Kikwete!
 
Back
Top Bottom