Walimu wa Sekondari kusimamia mitihani ya Shule za msingi ni udhalilishaji wa taaluma nchini

kati ya walimu 100 wa msingi wenye masters 0.1%, 1.5% digrii za open, saut, makumira na Jordan 18% wana diploma za taasisi ya elimu ya watu wazima, bagamoyo kuna kichuo fulani, kange, nk.


76% ni gredi IIIA na wengine wamo mkeja na darasa la saba wengi sana waliajiliwa 2000& 2001!


wengi wanajaribu kuristi wanachezea miswaki sana na tunakula sana hela zao na wengine tunawapiga machine ili tuwasovie vishazi vikurupushi.


elimu za walimu wa msingi ni sawa na polisi tu.
na wamejenga na wanajua kuitafuta hera kushinda wewe uliyesoma
 
Back
Top Bottom