Walimu wa sayansi na Hisabati mmepangiwa vituo? Machi ilosemwa na Kairuki inaisha au Machi 2018?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Akiwa bungeni kipind cha maswali na majibu Mh Kairuki alisema March walimu wa sayansi na hisabati wanaajiriwa na kupangiwa vituo, baadae April afya sasa March inaisha kimya ndo kusema matamko tu bila utekelezaji? Hakika nchi inaongozwa kwa kiki!

Labda itakuwa March 2018!
 
nchi ya general study mkuu, inaenda na current issues hayo ya walimu tusamehe kwanza now ni nape, makonda, ney wa mitego na makontena ya mchanga,

we are not strategic but current
 
ajira zitatoka sawa... ila sio za kuzshangilia mpaka tukasahau yote ya nyuma... tukumbuke kuna wadogo zetu wanakuja... wasije kupata tabu kama ilivyo sasa... nawakumbusha tu!
 
Back
Top Bottom