WALIMU WA HESABU NAOMBENI MSAADA HAPA

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Natumaini wote mu wazima. Ninaomba kwa mwalimu aliyewahi kuandaa SCHEME OF WORK kwa kuchapa (typing) anisaidie. Kwasasa nahitaji za Olevel ( form 1,3 na 4 ). Naomba aliyetayari kunisaidia anijulishe nimpatie mawasiliano. Natanguliza shukrani zangu. Asante sana.
 
mwalimu husika wa somo ndiye mwandaaji wa somo kulingana na nature ya darasa lake.
 
Samahani walimu kama mmenielewa vibaya. Naelewa kuwa mpango kazi ni jukumu langu kuandaa, lakini kumbukeni kwamba objectives ni zile zile hivyo hata kama walimu tutatofautiana katika T/L Activities naweza kuedit na kupanga namna ninavyotaka mimi.

Kwahiyo hapa ukinisaidia hiyo skeleton yenye nyama kiasi, naweza kujazia na nikapata kitu ninachokitaka. Bila shaka mtu aliyewahi kuchapa anajua jinsi inavyochukua muda, ninasababu za kuichapa lasivyo ingekuwa ni kuandika kwa mkono ningekuwa nimeshamaliza. Naomba mnielewe na kunisaidia kwa hivyo. Asanteni.
 
Mkuu huna kompyuta au? Tatizo ni nini? Kama kuna uliyoandika kwa mkono ipige picha watu wakupigie chapa chap chap. Au kama kuna walimu wa hesabu ambao wanazo tayari tayari bila shaka watakutumia. Good luck!
 
compyuta ninayo, tatizo ni muda wa kuandaa soft copy maana nina speed ndogo ya kuchapa. sijaandaa hard copy maana nahitaji soft copy kwasasa. Umemaanisha kama ningekuwa na hard copy nimpe mtu anichapie? Asante kwa ushauri.
 
Mwalimu nakushauri uandae mwenyewe kwani objective utazikuta mwenyewe syllabus,Mimi nilifundisha hesabu miaka Tisa iliyopita ili uelewe nini utafundisha,ni Velma mwalimu wa somo akaandaa mwenyewe ,kama hoja ni kuwa na Kai's indigo ya kuchapa aandika kw Mkono mpe mpiga chapa wa shule aichape,hiyo ndo kazi take.
 
Natumaini wote mu wazima. Ninaomba kwa mwalimu aliyewahi kuandaa SCHEME OF WORK kwa kuchapa (typing) anisaidie. Kwasasa nahitaji za Olevel ( form 1,3 na 4 ). Naomba aliyetayari kunisaidia anijulishe nimpatie mawasiliano. Natanguliza shukrani zangu. Asante sana.

Wapi haiba yako ya ualimu?
Ndani ya Mpango wako wa kazi unataka uandaliwe kweli?
Unategemea wanafunzi wako watakuwa na ubunifu kweli?

Huyu atakuwa sio wa Kigurunyembe wala si Tanga huyu nina mashaka anaweza kuwa anatokea kwa Majirani zetu kwa kweli.

Kijana kaa uandae alafu ndio ukasherehekee Chrismass na New Year!
 
Back
Top Bottom