Walimu wa Halmashauri ya Moshi mjini watoa madukuduku yao kwa mh Gama.

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Hongereni walimu wa manispaa ya moshi kwa kusema yanayowasibu mashuleni mwenu.Hayo matatizo ya walimu pamoja na wakuu wa mashule sio Moshi tu hata huku kwetu Rufiji yapo. Wakuu wa mashule wanaendekeza mivutano na walimu wao,badala yakukaa pamoja na kuendeleza elimu. Walimu wakuu hawataki kukosolewa ,mwisho wasiku wanafanya wanavyotaka wao.Kama mkuu wa mkoa wa k'njaro alivyoshauri,Mh Gama hebu Wakurugenzi wa Halmashari mkishirikiana na Maafisa elimu,tengenezeni bylaw ili ziongoze mashule huko wilayani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom