Walimu wa english language shikamooni, nisaidieni hili swali

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
378
448
Hili hapa View attachment 1453575
Screenshot_20200518-200412_1589821585754_1589821605202.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kadi za mwaliko kwa marafiki zako 10 uwaarike kwenye sikukuu ya kuzaliwa kwako ambayo itafanyika nyumbani kwako pia uweke na no yako ya simu ili uweze kupata taarifa kwa wale ambao watashindwa kuudhulia iyo siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kadi yamwaliko, then kwachini weka muundo tu unaotumika kuandika "telephone msg" huku ukitumia majina yakufirika/buni.
 
Back
Top Bottom