Walimu wa arts wote mlio na nia ya kujiajiri nioneni pm tuanzishe shule tufundishe masomo yote.

chodotio richie

JF-Expert Member
May 15, 2017
214
86
Walim wa Sanaa mliopo humu au kama unajua mwalmu wa sanaa alie na nia ya kujiajiri na sio kuajiriwaa tuwasiliane ili tuanzishe shule yetu itakayo weza kubeba masomo yote ya secondary. Piaa kuna idea tuanzishe primary school by then.

Pia tuwakaribishe stake holders wote mtaopenda kutushauri kwa hali na malii kufanikisha hli.

Waalimu 80 wanahtajika wenye nia njema Wa masomo ya..
Kisw
Eng
Geog
French
Hist
Economics

Na walimu hao wawe na uwezo wa kujitolea katika kufundsha masomo mengine yote kwa nia njema kama;
Biology
B.maths
Chem
Physics na AGR.

Natanguliza shukran zanguu. Contacts. 0743955630.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaeleweka, Umeacha maswali mengi sana!!Muanzishe SHULE au kituo? Kama in shule ulishaijenga tayari au ndo wakipatikana hao waalimu muanze kujenga? Pesa mtatoa wapi ikiwa wote ndo kwanza mmeajiriwa?
Hata usjl kaka.kla ktu kpo sawa. Tunahtaj fikra pevuu kuunganisha nguvuu ili kuanzishaa. Eneo na majengo vpo Tatar. Tunahtaj walm wenye nia ya dhat tuanze kuisajl shule na kuanza kupkea wanafunzi from pre form one in next two months.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo somo la Kiss ndio lipi? Au ndio Kiswahili? Wazo lako ni zuri ila ni vyema mkaanza na private tuition.
 
Kwa shule ya primary tuna majengo yetu yapo makambako town tunatafuta watu ambao wataendesha...... We nikuja na knowledge tu!!!!! Kama upo tayari ni check ... Any body 0755259798
 
Hilo somo la Kiss ndio lipi? Au ndio Kiswahili? Wazo lako ni zuri ila ni vyema mkaanza na private tuition.
Achana na kiswahili !umeona huyonmwalimu hicho kiswahilo chake?nani atakaye peleka mtoto wake kwa aina hii ya mwalimu!hana maadili ya kazi yake ambapo mohawapo nibkuwasiliana kwa adabu na ufasaha!ni makosa kwa mwalimu kufanya bastardization ya misamiati kwenye hadhira kama hii au mbele ya wanafunzi wake

Ni kawaidaa kwa kila penye Nia ya kua na mafanikio hapakosekani Wa kukatisha tamaaa. Shetani humvaa MTU ili kuarbu mafanikio. Hats yuda alivaliwa na ibilisi akamuuza Yesu kwa vipande30. Sitakuhukumu. Mungu akusamehe. Hatutakata tamaa kwa maneno ya watu kma ww.w

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walim Wa Sana'a mliopo humu au kma unajua mwalm Wa Sana'a alie na nia ya kujiajiri na sio kuajiriwaa tuwasiliane ili tuanzishe shule yetu itakayo weza kubeba masomo yoote ya secondary. Piaa Luna idea tuanzishe primary school by then.

Pia tuwakarbshe stake holders woote mtaopnda kutushaur kwa halo na malii kufanikisha hli. Waalimu 80 wanahtajika wenye nia njema Wa masomo ya..
Kiss
Engl
Geog
French
Hist
Economics
Na walim hao wawe na uwezo Wa kujitolea katka kufndsha masomo mengne yte kwa nia njema kaama biology
B.maths
Chem
Physics na AGR.

Natanguliza shukran zanguu. Contacts. 0743955630.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudhalilisha kazi za watu wewe mleta mada.Unataka kuaminisha watu kuwa walimu ndio tunaandika hivyo??Acha hiyo tabia tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na kiswahili !umeona huyonmwalimu hicho kiswahilo chake?nani atakaye peleka mtoto wake kwa aina hii ya mwalimu!hana maadili ya kazi yake ambapo mohawapo nibkuwasiliana kwa adabu na ufasaha!ni makosa kwa mwalimu kufanya bastardization ya misamiati kwenye hadhira kama hii au mbele ya wanafunzi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
umeona wewe ulichoandika.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakutakia kila la kheri kwenye mradi wako huo mpya.Angalau wewe umeonyesha kujiongeza ingawa watu wanakuponda humu sasa sijui walitaka ukae tu uwaombe ugali!!

Mwalimu wewe pambana na mambo yatakuwa mazuri hapo baadae.
Walimu wenye roho ya kipambanaji nao watajiunga nawe ili mjiajiri wala usijali.
 
Biology, Chemistry, Physics & B/Math's sasa mnataka kufundisha kwa nini mliikataa? Kila la heri kama ni primary tu fundisheni ila kama Secondary ombeni msaada musije kuwalisha matango pori watoto
 
Nakutakia kila la kheri kwenye mradi wako huo mpya.Angalau wewe umeonyesha kujiongeza ingawa watu wanakuponda humu sasa sijui walitaka ukae tu uwaombe ugali!!

Mwalimu wewe pambana na mambo yatakuwa mazuri hapo baadae.
Walimu wenye roho ya kipambanaji nao watajiunga nawe ili mjiajiri wala usijali.
Asante mkuu. Napnda watu wanaonipa ujasiri kama ww. Mungu akubark.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom