Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

Hapo bado Bodi ya Mkopo wana nawa mikono tayari kuanza kuchukua chao ktk huo mahahara unao sema bado haujawekewa
Eiiiiiiii mitano tenaaaaaa
Kabla ya kukoopa ni muhimu ajue mshahara take home ya kuanzia shule za msingi ni shilling ngapi? unaweza ukakoopa pesa utakayo lipa kwa mishahara mitatu, shida ikawa zaidi kuliko awali. Watu wanakimbilia hizi ajira za ualimu kwasabb ya 'disperency' hawana matumaini ila hizo sio ajira
 
Rabda tu niwaereze ukweri maana msema kweri ni mpenzi wa Mungu
Nchi hii tumeriwa sana na tupo kwenye vita ya uchumi tuenderee kuvumiriana uzuri maendereo mnayaona taa kira barabara

Nasema uongo ndugu zangu?
Mzee baba R. na L kwako ni tatizo hujui huzitumie wapi

Anyway unaweza kuwa was Kanda maalumu
 
Si mlikuwa mnataka ajira, kama mnaona kazi ni ngumu acheni. Ualimu ni wito, sio ubunge ama uwaziri !
 
Aisee pole sana mkuu, yaani muda mwingine ni bora serikali iwe wazi tu kuwa bajeti imeyumba.
Watu wangejiandaa na michele, unga wakati wanasubiri hizo fedha za kujikimu na hiyo mishahara.
 
Kabla ya kukoopa ni muhimu ajue mshahara take home ya kuanzia shule za msingi ni shilling ngapi? unaweza ukakoopa pesa utakayo lipa kwa mishahara mitatu, shida ikawa zaidi kuliko awali. Watu wanakimbilia hizi ajira za ualimu kwasabb ya 'disperency' hawana matumaini ila hizo sio ajira
Sorry Mkuu,una maana gani kusema hizo sio ajira?
 
Fanyen organization hapo mratibu elimu kata awakurupushe wananchi wapige donea wenye kujitolea rooms muishi kwa tulipofikia hamna naamna ni. DONETION ya kata nzima
 
Back
Top Bottom